Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana.
Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea.
Haohao weusi unaowadis ndo wamepindua meza ndani ya dakika mbili baads ya weupe akna Giroud, Griezman n.k kushindwa kazi. Sasa unawalaumu nn. Japan penalty zao zote zilidakwa, spain nae penalty zake zilidakwa na zingine kupotea, nao weusi?