ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
========
UPDATES:
Pole mkuu[emoji1] [emoji1]Hapa ulimi wangu umevimba aisee
Mwohohya kaburudentiHaikuwa na haja ya kuchukua passport ZA mbele.. bongo kuna majina ya ajabu mpaka basi..
Kama "kayanza pinda" mizengo.Haikuwa na haja ya kuchukua passport ZA mbele.. bongo kuna majina ya ajabu mpaka basi..
Dadeq
Ndiyo nani huyo!Mwohohya kaburudenti
Kulikuwa na jamaa anaitwa... ''Tuyafanyeje Machapati''Mwohohya kaburudenti
[emoji23][emoji23][emoji23]K
ulikuwa na jamaa anaitwa... ''Tuyafanyeje Machapati''
Huyo atakuwa mjapani tuShahawa zamoto.drs la 4 ilibid mzaz aitwe ili mwf abadlishiwe jina.nw anahtwa majaliwa zamoto.geita huku
Paramagamba kabudiHapa Bongo kuna:
Majiyatanga Mzindakaya
Tabasamu Ngogoseke
Ukiwaona Ditopile Ramadhani Mwinshehe wa Mzuzuri
Manyege Manyeto
Anuani Salamu
Januari Hamsini