Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Ukiwaambia iPhone users hilo suala watakushambulia na maneno ya kejeli[emoji38][emoji38]
 
Ukiwaambia iPhone users hilo suala watakushambulia na maneno ya kejeli[emoji38][emoji38]
Iphone hata ikiwa refurb inakupa guarantee ya kukaa nayo hata miaka 10, kitu ambacho kwa Samsung na brands zingine za android ni ngumu unless ununue iwe mpya kabisa ndani ya box.

Mbali na hapo iOS kwangu ilikuwa na maudhi na kero za kipumbavu mno.
 

Kuna simu nyingi kali tu kuliko iphone

Lakini binafsi naziona hazifai kwasababu ya kuizoea ioS
Sijui ndo iyo mnaita “iOS effect” [emoji2][emoji2]

Labda kwa sababu nmeanza kutumia muda kidogo enzi za 5s.

Kwa tusiopenda mambo mengi ioS ni bora
Kiukweli nmejaribu mara 2 kuhama apple nlianza na google pixel 6a nikajaribu Nothing phone…lakini wapi ilibidi nirudi tu nyumbani..

Ukizoea iOS ni ngumu sana kujinasua!labda mnishauri nijaribu simu gani ambayo itanifanya nihame huku maana nmekuwa teja kwakeli[emoji23]

Hivi HTC ziliishia wapi??
 
Tumia
  • Samsung Galaxy S22 Ultra
  • Xiaomi 13 Pro
Uone kama utarudi iOS, we hama tu umekaa nayo sana hiyo iPhone yani tangu iPhone 5s utafikiri umefunga nayo ndoa[emoji28]
Hama kwenye iOS effect, ingia kwenye Galaxy effect au Mi effect hata kama hujawahi kusikia hizo terms[emoji23][emoji23]
 
Nilichogundua simu hizo wanaopenda kuwa nazo wengi ni za malaya na machoko ,wanaamini ukimiliki hz simu wanavalue biashara zao za ukahaba
Huu ndo ukweli wengi wanaangukia hapa, kuna dogo mmoja home alidanga vilivyo ili apate iphone, na lengo hasa ni kupandisha dau kwenye kuhongwa, ni masikitiko aliipata iphone 7😂😂basi anavyoringa huyo
 
Umekariri ha tunnel tu?
Au nikuwekee mzigo humu ukapige kazi na ushamba wako
my point >> ni bora zaidi kuwa na alternatives nyingi.

Tukiachana na ha tunnel, bado iphone haina apps zilizowahi kutumia internet bure kama wire tunnel, vpn force, n.k.

Kumewahi kuwa na mitelezo mingi ya kutumia internet bure kwa wenye simu za android huku wenye iphone wanapitwa na kamseleleko.
 
Jamani tuungishane wana jf humu wengine ndo biashara zetu kama unahitaji iphone kali kama hizo zote zipo dukani kwetu tupo makumbusho bus stand simu ni original na warranty ya mwaka mpka miaka miwili unapewa.Karibuni sana
 
Hujawahi kutumia hizo apps kwenye iOS so acha kuturusha mate hovyo zipo nying naweza nikakuwekea screenshot hapa ila nimekupa iyo Napsternet tv ambayo ni popolur sana We umekazia ha tunnel
 
Hapo kwenye kupromote reels naomba maelekezo
 
Security is overrated..

Mtu huna hata cha kuficha lakini unadandia treni la security security.
 
Duuh toka iPhone 2 mkuu unaingia kwenye maada nikuambie tu hapa hapakufai kiukweli
Endelea na techno yako
Iphone 2 ilikua simu ya Iphone ya mwisho kutumia.
Niko Samsung sasa na ni mkataba.
Tekno huwa nasoma tu kwamba ipo.navyojua ni mwanamuziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…