Watu wengine bwana!

Kirikou Wa Kwanza

JF-Expert Member
May 24, 2013
3,564
1,991
Jamaa 1: Haloo!
Jamaa 2: Nakusikia kaka, niambie...
Jamaa 1: Pesa yangu utanilipa lini?
Jamaa 2: Haloo unasema?!...haloo sikusikii vizuri!
Jamaa 1: Haloo, nakuambia ile pesa ninayokudai usinilipe tena haina haja kaka.
Jamaa 2: Aha hapo nimekusikia vizuri kaka.
Jamaa 1: Sawa, lakini pesa yangu utanilipa lini?
Jamaa 2: Haloo haloo sikusikii kabisa una katakata...nipigie baadae! (Jamaa akazima simu)
 
Back
Top Bottom