Watu wengine Bwana!!!


Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
Nani amewahi kuamka asubuhi na kukuta mtu anamfuatilia utafikiri ameua kwao?
Watu wengine bwana!!
Yaani unakuta mtu mzima na ndevu zake anafuatilia weeee maisha ya mwanaume mwenzie au mwanamke mtoto wa mwanaume mwenzie utafikiri bwabwa bwana!!
Aaargh!!
Na kuna wale wengine akiona mtoto ametoka kufunga shule,utashangaa anamwita na kumuuliza,"Umekuwa wa ngapi kwenye mtihani?"
Jamani kwa inayo wahusu,acheni wanga bwana!!!
Wanga haufai,kila mtu ashike yanayo muhusu bana,ya nini kufuatiliana fuatiliana?
Kila mtu anakula kwake kudadadeki,
unamfuatilia fuatilia mtu,ameoa kwenu?
Aaaargh!!
Kuna watu wanakera mjue!!!
 
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
Jama jama jama!!!
Wapi wanamaombi tuje kumuombea huyu mtu?
 
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
Una matatizo
Tena makubwa mkuu Chimbuvu.
Thread ya tatu hii anaileta na hasomeki.
Wapi Marry Hunbig aje kuongoza maombi hapa?
 
Last edited by a moderator:
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,923
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,923 2,000
acha kuishi Simike, Mafiati, Mwenge, Makunguru na sehemu zote za uswazi....ishi Sae, Block T, Forest au Jacaranda hiyo mambo hakuna
 
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
5,818
Points
1,500
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
5,818 1,500
acha kuishi Simike, Mafiati, Mwenge, Makunguru na sehemu zote za uswazi....ishi Sae, Block T, Forest au Jacaranda hiyo mambo hakuna
Mkuu watu8 unatokea Mbeya nini?
 
Last edited by a moderator:
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,733
Points
2,000
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,733 2,000
kweli CC ni stress free zone ikifuatia baada ya bondeni..
 
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
5,818
Points
1,500
Myakubanga

Myakubanga

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
5,818 1,500
good place kaka karibu kabisa na mjini....
nimeshawahi kuhishi Majengo, Forest, Sae miaka hiyo Sae ndio inaanza kujengwa...
Ohoo...kwa sasa upo DSM?
 
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
Tena makubwa mkuu Chimbuvu.
Thread ya tatu hii anaileta na hasomeki.
Wapi Marry Hunbig aje kuongoza maombi hapa?
Nimekuja mkuu Jacaranda ndio kwetu,ila mgonjwa wetu amepelekwa kifungoni tena(BANNED);
Tusiache kumtembelea huko magerezani.
 
Last edited by a moderator:
stevoh

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
2,924
Points
1,195
stevoh

stevoh

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
2,924 1,195
Nimekuja mkuu Jacaranda ndio kwetu,ila mgonjwa wetu amepelekwa kifungoni tena(BANNED);
Tusiache kumtembelea huko magerezani.
upange siku tuwe tunaenda kumtembelea.
 
Last edited by a moderator:
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
1,680
Points
2,000
Marry Hunbig

Marry Hunbig

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
1,680 2,000
upange siku tuwe tunaenda kumtembelea.
Basi mpendwa stevoh ni PM pa kukutana kesho ili tukamtembelee MzunguMndali magereza.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,284,369
Members 494,064
Posts 30,823,113
Top