Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ya Tarime inabidi ule kwanza au utaathiri michango yako JF.huwa nashangaa sana mtu akilalamika eti oooooh! maisha magumu..kwa nini ung'ang'anie vitu vigumu?kama maisha magumu achana nayo fanya vitu vingine kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya labda maisha sio zari lako!!!
World mental health council wanasema katika watu wanne basi mmoja lazima awe na tatizo hilo tofauti ni kiwango cha kuathirika tu.nimesikia kuna watanzania milioni moja na nusu wanaugua ugonjwa wa akili
na kila mara nikiingia hapa jf najikuta nakumbuka hilo...
mkuu ya Tarime inabidi ule kwanza au utaathiri michango yako JF.
World mental health council wanasema katika watu wanne basi mmoja lazima awe na tatizo hilo tofauti ni kiwango cha kuathirika tu.
Kwahiyo una mpango wa kujinyonga au unashauri wate waache ubishi wa kupambana na maisha magumu na wakaangalie ustaarabu mwingine ahera ?huwa nashangaa sana mtu akilalamika eti oooooh! maisha magumu..kwa nini ung'ang'anie vitu vigumu?kama maisha magumu achana nayo fanya vitu vingine kwani kuna vitu vingi sana vya kufanya labda maisha sio zari lako!!!
naomba huu mjadala tuumalizie kesho nafahamu utakuwa umebadili/rudisha mawazo.kuna mambo mengi sana ya kufanya mkubwa,kwani maisha kitu gani?