kasukububu
Member
- Jan 9, 2013
- 63
- 25
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?
Sa anajisumbua nn?
Tusiwe tunachelewa darasani..!!somo lako mkuu linatufundisha nini..
Hiyo ni sawa na kufuta namba ya simu ya mpenz wako mliyegombana wakati unaikumbuka kichwani.
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?
Tungekuwa tunawekea mashushushu vitu vya msingi tungekuwa mbali sana kimaisha.
Kuna cha msingi zaidi? Unatafuta elimu, kazi njema, biashara ya faida ili upate hicho kitu!
haya tutakuwa tuna wahi enheee...Tusiwe tunachelewa darasani..!!
Hivyo ndo vya msingi.
umenikumbusha mbali aisee