Watu wengine bana!

Watu wengine bana!

ungeangalia viwango vya elimu vya hao wanaofuatilia wapenzi wao,

utakuta ni lower classes halafu hata uwezo wa kuwatimizia mahitaji yao pia ni mdogo sana.

kazi yao kuu ni complains za hapa na pale. they are not productive.
 
kama huwezi kupambana,wacha wenzie wakusaidie kutunza....
 
Anataka amfahamu mume mwenza...ha ha ha ha....
 
Eti utakuta kidume kimemuwekea dem/mke wake mitego kibaaaaooo,mashushushu kibaaaooo,lakin akimfumania hana ubavu wa kumuacha.
Sa anajisumbua nn?

Siku hizi imekuwa biashara,ukimfumania basi unachukua donge nono na mkirudi home unamuachia hela ya kula kutoka ktk hela hiyo hiyo.

"Nlikiwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom