Watu wengi wanaamini Polisi na Usalama wa Taifa ndio watekaji na wapiga risasi (Watu wasiojulikana)

risasi za juu zinaua mtu kwenye daladala... ccm oyeeeeeeee . Tuliahidiwa na Mambosasa atatoa taarifa ya watu wanaoteswa baadae kutupwa kwenye viroba baharini mpaka leo kimya..ccm oyeeeeeee...saa nane na wengineo wameuwa kinyama na kufukiwa kusikojulikana kwa kuhoji phd ya mafuta ya korosho..ccm oyeeeeeee...
Yanayotokea Ethiopia si muda mrefu yatakuja tz....ccm oyeeee
 
Yaleyale ya ku isolate matukio,kila siku,ni Walewale wengine nyani
Tumeona Kibiti baada ya mauaji kuanza virtually vikosi vyote vote viliwakilishwa huko na kukimbizana na kuwauwa suspects hadi Msumbiji
Waliomuua Mawazo kila mtu Geita anawafahamu
 
Mkuu ni maoni yako ,naheshimu
Watu wanakufa , tena wasio na hatia, kila kukicha, mbona enzi ya kikwete hayakuwepo! Harakati za chadema /upinzani zimeanza baada ya magufuli??.. hamtaki upinzani, thats it. And you do the biggest mistakes this way of killing oppositionn... Sema ni hivi, mother nature controls everything. Just a matter of a time, the way ccm does it soon or later will get into saturation over their evil ways, mother nature will show you how natural intelligence overtakes everything. Just a matter of time!
 
Kwanini hawashikwi? Waliotaka kumwua Nape mchana kweupe wakitumia gari toka ..... kwanini hawajashikwa? Wacha unafiki kwenye uhai wa watu!! Hata shetani atakushangaa
 
Nakuabaliana na wewe ...kwa professional kwa silaha hawezi kutumia risasi 30 na asitimize lengo la 'kumpoteza' mtu au kitu..lakini after a second thought inawezekana professional huyo akatumia risasi 30 lengo likiwa siyo kumpoteza' mtu bali as a warning...
 
Watu watahangaika sana watekaji na wauwaji ni haohao chadema wabadhani kwakufanya hivi serikali irapakwa matope wapate pa kutokea kumbe wanajichimbia kaburi siku wanachama wao wakijua watagawana mbao na hao viongozi wao uchwara
 


My nigga !(Denzel's voice in the movie Training Day!)

Ingekua ni watu wengine long time wangekua washawashika na kuwabanika!

Hadangayiki mtu,kila mtu anajua ni hao hao wanajiita "vitengo"...It is hillarious even hearing the way they call themselves!

Ni maajabu "violence" ipo owned na kumilikiwa na serikali pekee,mtu mwingine akifanya "violence" ni kosa la uhaini,ni legal na kuhodhiwa na serikali!

Very funny if you ask me!
 
Huu siyo ukurasa wa hadithi za watoto,hapa ni kwaajili ya watu watumiao critical thinking.
 
Kwaakili ya kawaida sana,jambo likikushinda huwezi kukataa usaidizi.Ukiona mtu anakataa usaidizi ujuwe anaiweza kazi yake.
 
Mkuu hata mimi nakuona pumbavu ulietukuka kwa haya maelezo yako,sas sijui upumbavu wako ni wa kujifunza au wa kurithi ?
 
Rudia kwa utaratibu kusoma neno kwa neno uone jinsi ubongo wako usivyofanya kazi
 
Naposikia diwani wa chadema ambaye hata simjui wal hajulikani kwenye ulinho wa siasa hlf kuna mtu anasema eti ccm au polisi wamemuua ndo najiulizaga maswali mengi,alikuwa na impact gani?ccm waue diwani kwa mapanga?niaminini mimi kuna mtu anapaka watu watope au chadema ni chama cha wauaji...kuna namna
 
Mbona unaleta maada yenye ukakasi. Umetoa mfano wa ikwiriri kuwa polis kadhaa walikufa na raia kadhaa. Halafu unasema polis na usalama wamahusika. Sasa inamaana polis wanaua wenzao?[color]
 
Mtoa post hii,tumia akili ya kuzaliwa na sio utumie makamasi,
Hivi wewe kama mzazi mwema,unaweza kuua wanao halafu ukaanza kumlaumu jirani yako kuwa ndiye anayeua watoto wako?
Mpaka sasa haijathibitishwa muuaji ni nani unafanya predictions,ni kosa,fahamu.
kwa kua akili yako iko kwenye soksi za viatu vya Mbowe,kichwa chako ni kasha tu,utajitambua siku masia akikaribia kurudi
 
!
!
Katika kundi la watu wasiojulikana limeongezeka kundi lingine la tanesko. Hawa wanadili na wale wote wanaoandika Habari zao kwa namna ambayo hawapendi. Hawa polisisiem na ushalama tushawazoea ni kawaida sana now Tena wanakuchukua live tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…