Watu wengi wameingiwa na uoga wa kuikosoa serikali,kila mtu kabaki kusifia kwa kuogopa kufanyiwa mabaya

Watu wengi wameingiwa na uoga wa kuikosoa serikali,kila mtu kabaki kusifia kwa kuogopa kufanyiwa mabaya

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,579
Ndiyo hali tuliyofikia kwenye utawala wa Mama chini ya serikali ya CCM,

Yaani kila mtu kabaki kusifiya, si maofisini,mitaani kwenye nyumba za ibada na hata kwenye makundi ya kijamii kama magroup ya kifamilia

Yaani ukionekana unaikosoa CCM na serikali basi unaoneka kama muhaini
 
20250612_190153.jpg
 
Back
Top Bottom