Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
Ambao hawjaolewa hawalii??
Mapenzi ni vilio tu,beforw and after.
Inshort taasisi ya mapenzi inasua sua sana.
 
Hao watano kuna ambao wanaume zao uchumi umeyumba anaona kero,wengine viuno hakuna kwenye mechi waume zao hawawapi ushirikiano mana matumbo yamekua baada ya uzazi...kwahiyo wanalalamikakua ndoa zinawashinda
Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
 
Umeongea kwa uchungu sana kwahiyo wanandoa wameamua kuishi hivyo
Yah wameamua, kama wamegundua kuwa ndani hakuna Amani inamaana kuna mtu kawalazimisha kuishi bila ya Amani? kama hawajalazimishwa kwanini wasiondoe tofauti zao na wakaishi kwa Amani? Tatizo kubwa katika ndoa za Kiswahili kila mtu anakuwa na makossa yake tatizo linakuja kwamba mtu anakomaa kumlaumu mwezie tu bila ya kukubali uhalisia kwamba katika huo mgogoro naye kuna mchango wake. Linapokuja suala la uaminifu hata mwenzako akikushtukia huwezi kubadilika utang'ang'ania tu uletwe ushahidi Amani ikitoweka unaanza kulalamika. Kwa ufupi sisi waswahili ni asili yetu ndoa zetu kutokuwa na Amani kulalamika ni kujichosha tu.
 
Ukioa/kuolewa na mume/mke wa mwenzio lazima nanga ipae,.lakini hakuna mahali pataam dunia kama ndoani ni half-paradise asee,.mpate tuu wa kwako hutojutia😍

Location:home library,.📚📚
 
Ukiona mwanaume ameoa halafu anachepuka hiyo ndoa haina furaha.
Ukiona mwanamke ameolewa halafu anachepuka hiyo ndoa haina furaha.
Kwasababu kuchepuka kwa mmoja ni maumivu na huzuni kwa mwingine.
Mbali na uchepukaji mengine ni kuvumiliana tuu na kifurahia maisha.
 
Aaah unaamua kuvumilia duh alafu furaha inakuwa hamna
Unajuwa, wenye ndoa na wasio nazo wapo wenye furaha wasio nayo... Tofauti Yao NI kuwa wasio na ndio rahisi SANA kusema ITS OVER BILA KUHUSISHA MTU.. HUKU KWENYE NDOA UKIMFIKIRIA BABA PAROKO, NDUGU WA PANDE ZOTE, ETC unaona ngoja kwanza
 
Hao watano kuna ambao wanaume zao uchumi umeyumba anaona kero,wengine viuno hakuna kwenye mechi waume zao hawawapi ushirikiano mana matumbo yamekua baada ya uzazi...kwahiyo wanalalamikakua ndoa zinawashinda
Na huyu hapa je
 
Ni kweli bhn watu wanajifanya kubisha tu ndoa za saivi ni stress tupu hakuna raha wala furaha wanaishi kwa mazoea tu wameshaoana watafanyaje sasa
Yah wameamua, kama wamegundua kuwa ndani hakuna Amani inamaana kuna mtu kawalazimisha kuishi bila ya Amani? kama hawajalazimishwa kwanini wasiondoe tofauti zao na wakaishi kwa Amani? Tatizo kubwa katika ndoa za Kiswahili kila mtu anakuwa na makossa yake tatizo linakuja kwamba mtu anakomaa kumlaumu mwezie tu bila ya kukubali uhalisia kwamba katika huo mgogoro naye kuna mchango wake. Linapokuja suala la uaminifu hata mwenzako akikushtukia huwezi kubadilika utang'ang'ania tu uletwe ushahidi Amani ikitoweka unaanza kulalamika. Kwa ufupi sisi waswahili ni asili yetu ndoa zetu kutokuwa na Amani kulalamika ni kujichosha tu.
 
Oooh kumbe mbn wengine wanasema wana furaha na wanachepuka hapa kuna kipi kinakuwa kinaendelea?

Back
Top Bottom