Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,985
- 69,375
NAELEA KUMUOA InnaWewe umeoa?
NAELEA KUMUOA InnaWewe umeoa?
Mi mbona, naona kama nimeoa mke wa mwenzangu hivi...afu kuna kajamaa nahisi kameoa mke wangu afu kameuchuna tu, mana mkewe akipita daaah...anyway dunia ndogo hii.Owa mke au mume wa mwenzako utakoma
SAWAMsisahau kuleta mrejesho baada ya miaka mitano ya ndoa
Hahaha tena yamekuwa hayo hahahaha vipi are you happy with ur marriage
Basi kama unaniuliza, nakujibu uhalisia haswa, I am super happy with my marriage.Sikulazimishi nakuuliza tu
Naomba nikuoeTupeni mrejesho kama mna furaha kweli!
Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha
Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana kwa dhati,lakini shauku na penzi letu siku hizi imepotea.
Hakuna urafiki mzuri kati yetu kama hapo awali wala hatufurahii kuwa pamoja,hata kucheka inakuwa tatizo pamoja na kulala kitanda kimoja na ushirika wao katika mambo mengi.
Ndoa zingine wana ndoa hawawezi hata kujadili matatizo yao kwa pamoja, mbaya zaidi kufanya mapenzi kwao imekuwa kama wajibu badala ya starehe.
Hii ni hatari maana hakuna mtu kati yao anayejisikia shauku ya mapenzi kwa mwenzi wake.
Ukichunguza sio kwamba kuna mtu anatoka nje ya ndoa hapana utawasikia wanasema ndoa yetu haina upendo.
Matatizo ya ndoa yapo mengi na yanatofautiana ndoa na ndoa,lakini vilio vingi vya ndoa vinafanana.
Nyongeza : Ambao hatujaolewa tunatamani kweli Kuingia kwenye ndoa .
Location: Napita kwa huzuni.
Basi kama unaniuliza, nakujibu uhalisia haswa, I am super happy with my marriage.Sikulazimishi nakuuliza tu
Uciogope,kmbka hyo ni maneno ya kuambiwa, let us get marriedMm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
swala hili lipo toka zamani tafauti iliyopo sasa na zamani ni kuwa
1. zamani mwanamke alikuwa hana sauti (mfumo dume) kwahiyo walivumilia yaliyo tokea ndani na kufunika kombe, ilikuwa aibu ya familia mwanamke kuachika. sasa hivi kila mmoja anasharubu hakuna kuvumiliana ni mwendo wa kupiga chini.
2. teknolojia imekuja kuharibu mfumo uliojengeka kama utamaduni na mila za kiafrika. sasa hivi kilammoja anaitwa mzungu, maisha ya kuigiza kwa pandezote mbili. Hakuna siri. Mtu akikwazika kaingia JF, FB INST. kutafuta solution anakutana na akina mtanashati, demiss at el wanaomjaza upupu na sio kwa wazazi wenye hekima wanaoweza kumfunda akaelewa.
3. Money (ask mengi widow)
View attachment 1175631
View attachment 1175628View attachment 1175630
Tupo pamoja mkuu. Imefika wakati tujitafakari na kuangalia mfumo mwingine kama wa ndoa za mikataba, open relationship..Nimekaa.... Nimetafakariiii...nimegundua kuoa/kuolewa nimtindo wakizamani ambao ulishapitwa nawakati kama vile mwanamke kuvaa gaguro kwakipindi hiki
Hata wewe Hina furaha kwenye mahusiano ambayo si ndoa... Na ndo sababu kupiga chini MTU hukawii au wewe kupigwa chini hukawii....Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa