Mjuaji wa mambo yote ya faragha na mahusiano.Msemaji wa familia zote
Ambao hawjaolewa hawalii??Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
Hata wasio oa na kuolewa wanalia lia sana.Hata nyuzi za jamiiforum zinaonyesha tu mkuu au nikupe link ndiyo uamini
Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
Yah wameamua, kama wamegundua kuwa ndani hakuna Amani inamaana kuna mtu kawalazimisha kuishi bila ya Amani? kama hawajalazimishwa kwanini wasiondoe tofauti zao na wakaishi kwa Amani? Tatizo kubwa katika ndoa za Kiswahili kila mtu anakuwa na makossa yake tatizo linakuja kwamba mtu anakomaa kumlaumu mwezie tu bila ya kukubali uhalisia kwamba katika huo mgogoro naye kuna mchango wake. Linapokuja suala la uaminifu hata mwenzako akikushtukia huwezi kubadilika utang'ang'ania tu uletwe ushahidi Amani ikitoweka unaanza kulalamika. Kwa ufupi sisi waswahili ni asili yetu ndoa zetu kutokuwa na Amani kulalamika ni kujichosha tu.Umeongea kwa uchungu sana kwahiyo wanandoa wameamua kuishi hivyo
Nakuhamu mimi jamani mhenga...Mi mbona, naona kama nimeoa mke wa mwenzangu hivi...afu kuna kajamaa nahisi kameoa mke wangu afu kameuchuna tu, mana mkewe akipita daaah...anyway dunia ndogo hii.
Wewe una furaha kwenye mahusiano yako ?Unaniuliza swali au?
Unajuwa, wenye ndoa na wasio nazo wapo wenye furaha wasio nayo... Tofauti Yao NI kuwa wasio na ndio rahisi SANA kusema ITS OVER BILA KUHUSISHA MTU.. HUKU KWENYE NDOA UKIMFIKIRIA BABA PAROKO, NDUGU WA PANDE ZOTE, ETC unaona ngoja kwanza
Na huyu hapa jeHao watano kuna ambao wanaume zao uchumi umeyumba anaona kero,wengine viuno hakuna kwenye mechi waume zao hawawapi ushirikiano mana matumbo yamekua baada ya uzazi...kwahiyo wanalalamikakua ndoa zinawashinda
Yah wameamua, kama wamegundua kuwa ndani hakuna Amani inamaana kuna mtu kawalazimisha kuishi bila ya Amani? kama hawajalazimishwa kwanini wasiondoe tofauti zao na wakaishi kwa Amani? Tatizo kubwa katika ndoa za Kiswahili kila mtu anakuwa na makossa yake tatizo linakuja kwamba mtu anakomaa kumlaumu mwezie tu bila ya kukubali uhalisia kwamba katika huo mgogoro naye kuna mchango wake. Linapokuja suala la uaminifu hata mwenzako akikushtukia huwezi kubadilika utang'ang'ania tu uletwe ushahidi Amani ikitoweka unaanza kulalamika. Kwa ufupi sisi waswahili ni asili yetu ndoa zetu kutokuwa na Amani kulalamika ni kujichosha tu.
Ukioa/kuolewa na mume/mke wa mwenzio lazima nanga ipae,.lakini hakuna mahali pataam dunia kama ndoani ni half-paradise asee,.mpate tuu wa kwako hutojutia
Location:home library,.
Ukiona mwanaume ameoa halafu anachepuka hiyo ndoa haina furaha.
Ukiona mwanamke ameolewa halafu anachepuka hiyo ndoa haina furaha.
Kwasababu kuchepuka kwa mmoja ni maumivu na huzuni kwa mwingine.
Mbali na uchepukaji mengine ni kuvumiliana tuu na kifurahia maisha.
Kunamuda wake zetu wanakuwa pasua kichwa. Ila Ndoa inavipindi vyote vya furaha na huzuni.Ndio maana mnakuwa hamna furaha na ndoa?