Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,296
- 31,455
Duniani, ukisema u-react negatively kwa kila unalodhani ni baya kwako, UTAKUFA.....Aaah unaamua kuvumilia duh alafu furaha inakuwa hamna
Duniani, ukisema u-react negatively kwa kila unalodhani ni baya kwako, UTAKUFA.....Aaah unaamua kuvumilia duh alafu furaha inakuwa hamna
Hiyo ni kweli haina ubishiTAFITI UMEFANYA LINI MKUU UKAGUNDUA HIVYO
Kweli eeeh. mana nakumis mwenzio hadi nahisi kizungu zungu, yani unavyoniham basi ndo nakwisha kabisa, kama ntakufa baadae. Mahaba kama yote, makopa kopa yakujaza ndoo kubwa ya Lita 20.Nakuhamu mimi jamani mhenga...
Mie ndo mke wa jirani
SIO KOTE SASAHiyo ni kweli haina ubishi
Wewe hujanimiss wala, mbona hujanitafuta eti....Kweli eeeh. mana nakumis mwenzio hadi hadi nahisi kizungu zungu, yani unavyoniham basi ndo nakwisha kabisa, kama ntakufa baadae. Mahaba kama yote, makopa kopa yakujaza ndoo kubwa ya Lita 20.
ShkamooAcha kudanga, Uoelewe usitafute kujifariji hapa.
Jamani jamani we ujui ninavyokumisigi, ila nashindwa sasa nitakupatia wapi, yani nakumis weeee daaah. we young generation utaniua eti, sijui umenipa niniWewe hujanimiss wala, mbona hujanitafuta eti....
Mpaka nikajiongeza kupita kwa duka lako nikusalimie
Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!
Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha
Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana kwa dhati,lakini shauku na penzi letu siku hizi imepotea.
Hakuna urafiki mzuri kati yetu kama hapo awali wala hatufurahii kuwa pamoja,hata kucheka inakuwa tatizo pamoja na kulala kitanda kimoja na ushirika wao katika mambo mengi.
Ndoa zingine wana ndoa hawawezi hata kujadili matatizo yao kwa pamoja, mbaya zaidi kufanya mapenzi kwao imekuwa kama wajibu badala ya starehe.
Hii ni hatari maana hakuna mtu kati yao anayejisikia shauku ya mapenzi kwa mwenzi wake.
Ukichunguza sio kwamba kuna mtu anatoka nje ya ndoa hapana utawasikia wanasema ndoa yetu haina upendo.
Matatizo ya ndoa yapo mengi na yanatofautiana ndoa na ndoa,lakini vilio vingi vya ndoa vinafanana.
Nyongeza : Ambao hatujaolewa tunatamani kweli Kuingia kwenye ndoa .
Location: Napita kwa huzuni.
furaha ni uamuzi wako, kwa sababu kila eneo iwe kazini sehemu ya biashara kuna changamoto hasi na chanya.
ndoa inapaswa kuwa sehemu ya kutuliza mkazo/stress ulizopata uko ulikotoka iwe kwenye biashara, au kuajiriwa.
sasa kama ndoa tena ina kuwa kama UMEMEZA NDOANO ndugu KUPIGA MBIZI KWENYE LAMI KUTAKUHUSU.
jambo la msingi tusiwe na matarajio makubwa sana kuhusu ukamilifu wa wenza wetu, kila mtu kalelewa huko alivyolelewa tujaribu kutumia ipasavyo yale yanayotuunganisha then furaha itakuwepo
Naomba namba zaoMm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
kigori, i miss u. tuyamalize basi mama.Shkamoo