Watu wengi wa Dar wamekaa kidili dili tu

Watu wengi wa Dar wamekaa kidili dili tu

Kuna rafiki yangu alikuwa anaishi uku atwn akaja pata kaz uko dar lakin sasa ivi simwamin kabisa.


Hakiwa uku atwn alikuwa mkweli sana ukimkopesha atarudisha tu.

Lakin toka aingie jiji la dar namdai kama 4m ivi kila wakati ni ananipiga kiswahili ni mwaka sasa unepita nimeamua tu nimwachie simdai tena.

Pia hata ukaribu umepungua kabisa,unakuta anaulizia marafiki wangu wa atwn kama nipo aten au nje ya nchi.

Lakin before nikisafir lazima nimletee zawadi kama rafiki wa karibu sana.

Sasa best ndo nini kuja kuniumbua huku jamii forums..?
Nakumbuka unanidai mkuu lakini usimalize maneno kwa kajisenti haka nitakulipa nitakapokuja X-mass ila niongeze laki 5 ili nikulipe M 5 kabisa.
 
Wakopeshe sasa uje usikie saundi zao, Mara ooh ninayemdai kaenda China Mara India kutibiwa saundi kibao!!!
 
We ni fundi magari?

Maana naona issue zote za magari tu.
 
Jamaa kaaribu kumgegeda mke wa jamaa, hata kama ni hasira,ubaya hulipwa kwa wema isitoshe jamaa anaweza pata kizingizio na kujiona sio mkosaji endapo atajua
 
Duh! Ukaamua umle mke wa mshikaji?? A naweza Kuwa ana ngoma, ukapime!!
 
Hahahaaaa! Nyie mnaojiita wa mkoani mnatoka nchi gan? Kwani DSM sio mkoa. Alafu acheni uzembe, technology imekuwa sahz, biashara ya kumtegemea MTU akununulia imepitwa na wakati, kwa nn usitumie kampuni zipo nyingi tu.
 
Sidhani kama suala uaminifu ni dar tu, kwa sasa kupata mtu mwanifu Tanzania ni kazi ngumu hata awe ndugu, ninajua rafiki yangu yupo nje ya nchi yeye ametapeliwa na mke wake kabisa. Walikuwa wote nje akampa mke fedha kuja kujenga Tanzania yeye aendelee na kazi lakini ilikuwa ndiyo mwishi wa ndoa yao. Mke aliingia Tz fedha nadhani alienda kujenga kwao na akaendelea kumwambia jamaa atume fedha hadi jamaa anakuja kushtuka hali tayari ilikuwa mbaya, mke ameshapata na kijana wa kumshughulikia. Kwa hiyo sidhani kama suala la uaminifu ni dar tu bali ni tatizo la kitaifa
 
Nimeamua kuwapa onyo watu wa mikoani baada ya kuona kwa mda mrefu watu wa mikoani wanatapeliwa sana na jamaa zao au ndugu zao waishio dar-es- salaam.

Ninayo mifano mingi lakini leo nitaeleza mitatu tu. Kuna jamaa yangu wa kwanza alikuwa anataka gari akaenda dar kwa ndugu yake ili akanunue lakini jamaa yake akamtafutia gari la milioni kumi na gari hilo lilisafiri hadi kufika nyumbani kwake ( mkoani) na kufa moja kwa moja. Lakini mfano wa pili mnamo miezi kama minne iliyopita jamaa mwingine tena alienda dar kununua gari na alipofika kwa mwenyeji wake akamwambia anahitaji gari la milioni kumi na sita , jamaa akamwambia atamsaidia kupata gari nzuri matokeo yake ela amechukua amempiga kalenda jamaa amerudi bila gari na analalamika ametapeliwa na jamaa yake. Na tatu niliitwa na rafiki yangu akiniomba kwenda kusuruhisha mgogoro na mke wake akidai kwamba walikopa fedha benki ili anunue gari na akaenda dar kununua gari cha ajabu amerudi bila gari na fedha yote milioni 22 ametapeliwa na rafiki yake ambaye aliahidi kumsaidia kupata harrier nzuri na mpaka anaondoka rafiki yake ameondoka nyumbani na kwenye simu hapatikani akimuuliza mke wake mume wako yupo wapi anasema hajui wakati usiku wanapigiana simu na wanawasiliana, kwa kuww jamaa alimwachia mke na nyumba alichoamua baada ya kugundua rafiki yake amekimbia na fedha zake ni kumgegeda mke wa rafiki yake siku nne na kuamua kurudi kwake mkoani huku akiumia makato ya deni kwenye mshahara kwa miaka mitano mbele.

Hivi nyie watu wa dar watu wa mikoani mnawaonaje? , yaani nyie kila kitu dili , mtu unavunja undugu kwa ajiri ya fedha . Acheni hizo bwana sisi tunatafuta fedha kwa shida , watu wanalima mwaka mzima halafu kipato chote unamwibia.

Ndio maana mimi mtu wa dar huwa simwamini hata kidogo hata awe mkwe.

tatizo lenu pia watu wa mikoani mnaamini sana watu wenye maneno matamu na waongo mkidhani kuwa ndiyo sahihi....acheni ushamba. Unatoka mkoani unakuja dar kwa nini usimwambie jamaa yako akupeleke moja kwa moja yadi wanakouza magari?
 
Trust no body, study them everyday.

Hata hao Wa dsm wametokea hukuhuku mikoani.
 
Hao jamaa zako wamehonga hizo hela maana wengi mkienda Dar kitu cha kwanza mnaanza kuulizia watoto wazuri na sehemu za burudani zipo sehemu gani badala Ya kufuata kilichowapeleka Dar
 
Kuna rafiki yangu alikuwa anaishi uku atwn akaja pata kaz uko dar lakin sasa ivi simwamin kabisa.


Hakiwa uku atwn alikuwa mkweli sana ukimkopesha atarudisha tu.

Lakin toka aingie jiji la dar namdai kama 4m ivi kila wakati ni ananipiga kiswahili ni mwaka sasa unepita nimeamua tu nimwachie simdai tena.

Pia hata ukaribu umepungua kabisa,unakuta anaulizia marafiki wangu wa atwn kama nipo aten au nje ya nchi.

Lakin before nikisafir lazima nimletee zawadi kama rafiki wa karibu sana.

Khaa!! We vipi? Mwenzio kala mzigo siku 4 kwa 22m kirohoo safi. Wewe 4m tu unalalamika sana. Mtafute mkewe bana 😎
 
ndugu hizo njemba zimejaa shida, kuna jamaa yangu alienda dar kama miezi mitatu iliyopita kununua Gari eee bana ee ni hatar!!!! ametafutiwa gar ya bei chin wakati katoa 14 ml, wakaondoka dar kufika Tabora gar ikazima wakaingia garage wiki nzima ikatoka kufika kufika Kahama ndo basi tena safari ikaishia hapo mpaka leo gar ilisha zima.
 
aisee kaka umenikumbusha mbali mpaka machozi kidogo yanitoke kwan Dar c watu hasa ndugu
 
Back
Top Bottom