Blog
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 320
- 129
Kusema ukweli mimi cmpendi dingi yangu najilazimisha mdomoni kuongea nae. Nikimwona gafla huwa nakosa amani moyoni cmpendi sio siri cfichi hili.
Aisee bora niishie hapa,,,,all in all mzazi ni mzazi tu we nazi na yy JIWE huwezi shindana nae.