Hizi sehemu hazina usiri wowote toka watu wakiogeshwa na wafanyakazi wa ndani tena nje leo umekua kua unajifanya kuzifiiiichaaa hamna cha usiri wala nini!
hahahaaa Daah Kunakaukweli Hapa...Coz Assume Umeona Kundi La Girls Wamekaa Then Ukagundua Wapo Wawili Kundini Pale Mshafanya Yenu, Sidhani Kama Zitakua Za Siri Tena, Zitakua Sehemu Zingine Kama Mikono, Miguu Nk LoL ☺
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.