Watu wengi hawana sehemu za siri!

Watu wengi hawana sehemu za siri!

sehemu za siri zitabaki kuwa za siri tu hawa kama wameona watu wengi bado zitaendelea kuitwa hivyo
 
Mkuu sehemu za siri ni ambazo hata wewe mwenyewe huwezi kuziona, sehemu za siri ni ambazo zimo ndani ya tumbo kama vile maini, kibofu, moyo, figo, na utumbo. Hivyo vingine vinavyoonekana sio sehemu za siri.
 
...hahahaaa dah zangu ni za siri...
 
Mbona mkuu SI unit amekua mkali. Mleta mada yuko right bana.!
hahaaaaaa
 
Wengine pamoja na kuwa na timu ila huwa wanakung'utana gizani, au taa zazimwa na pia kujifunika. Hivyo bado ni za siri kwenye macho.
 
Naunga mkono hoja asilimia 100%. Napita naenda ila ningependa kusikia uzoefu wako mtoa mada. Je wewe unasehemu za siri au zilitoweka toka uko 16yrs
 
Back
Top Bottom