Weltmeisterschaftung
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 364
- 250
Ona kwanza ulivyotoa macho...unashangaa nini sasa?!! Kwani hujui kwamba "siri" ni ya mtu mmoja wakizidi sana wawe wawili tu baaass, sasa hizi sehemu zetu tunazoziita kuwa ni za siri ni watu wangapi wanazozijua mpaka sasa?!!! ni wewe mmoja tu au wawili (na mwenza wako), kama hadi mchepuko wako naye anazijui tayari, ni watatu hao na zime-disqualify tena kuwa za siri!!!
YANGU NI HAYO TU!!!
cc:miss chagga,matola,miss nerdy,watu8,lara1.
YANGU NI HAYO TU!!!
cc:miss chagga,matola,miss nerdy,watu8,lara1.