Watu wengi au watu bora

Una hoja maisha sio kisiwa sometimes tunaotaji watu
Unabaki uchaguzi lundo la wengi hopeless au wachache genuine
 
Una ongelea mleta mada au mada iliyopo mezani ?

Ukitaka kuniongelea mimi binafsi fungua uzi kwa ajili hiyo

Hapa ningependa fact sio majungu period !
Sasa nifungue uzi wa nini na wakati Mada yenyewe ndo inalenga kile na maanisha?
 
Una hoja maisha sio kisiwa sometimes tunaotaji watu
Unabaki uchaguzi lundo la wengi hopeless au wachache genuine
Sio uchaguzi necessarily ila kujua namna kila mtu an akufundisha nini. Maana hata mbaya wako anafaida pia
 
Shikamoo
Utaongeza chochote kwenye hiyo fact ya mwenzio?
Mawazo yake yameniwakalisha vizur kabisa

Kwa kuongezea tu kikubwa ni kumtreat kila aliyekuwa karibu yako kutokana na jinsi unavyomuelewa,ukiwa na marafiki ambao ni Vichomi basi unaishi nao kwa tahadhari na ukiwa na homies unawasogeza karibu zaidi,mwisho wa siku maisha yanasonga mbele
 
Sio uchaguzi necessarily ila kujua namna kila mtu an akufundisha nini. Maana hata mbaya wako anafaida pia
Ni kweli lakini hakuna haja yakujaza watu negative mafunzo utajifunza kwa kuwaona kwa mbali sio lazima uwakumbatie
 
Ni kweli lakini hakuna haja yakujaza watu negative mafunzo utajifunza kwa kuwaona kwa mbali sio lazima uwakumbatie
Exactly, ila ukikosolewa hupaswi kuignore that part... Wengi hukimbia ukweli waki dhani eti wako sawa. Kwenye maisha you'll need them ili ukuwe
 
Sawa sawa mkuu
Kuna code umeweka hapo lakini 😀🤣
 
Exactly, ila ukikosolewa hupaswi kuignore that part... Wengi hukimbia ukweli waki dhani eti wako sawa. Kwenye maisha you'll need them ili ukuwe
Wengine hukimbia ukweli hadharani lakini wanajirekebisha kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…