Watu wengi au watu bora

Una hoja sana mkuu
Naomba ujazie jazie nyama kidogo tafadhari
Cheki uchaguzi wa ndani wa CCM mwaka 2005(kama ulikua tayari upo angalao olevel) . Top 3 viliingia vichwa viwili konki Pr. Mwandosya na Dr. Salim, pamoja na born town mmoja. Lakini kwa sababu huyu born town ni popular kwenye chama akapewa nchi. The rest is history.
 
Mkuu nimecheka kwenye mada serious πŸ˜… kwa sababu huo mwaka 2005 nilikua shule ya msingi tena ngazi za mwanzoni kabisa

Ndani ya hoja yako: kwahiyo badala ya kigezo cha maarifa na weledi hao wawili konk wakawekwa pembeni akapewa huyo born town kwa sababu ya ushawishi wa wengi πŸ€”
 
Kuna msemo unasema, surround yourself with people who challenge you to grow, not just people who clap for everything you do.

Ego itakufanya ujisikie vizuri kwa muda tu lakini ukosoaji wa kukujenga utakufanya uwe bora sana kwa muda mrefu zaidi.
 
msemo unasema, surround yourself with people who challenge you to grow, not
Twin πŸ‘πŸ‘
Ego itakufanya ujisikie vizuri kwa muda tu lakini ukosoaji wa kukujenga utakufanya uwe bora sana kwa muda mrefu zaidi.
Ego inakufanya ujisikie vizuri kwa muda tu lakini ukosoaji wa kukujenga utakufanya uwe bora sana kwa muda mrefu zaidi β™₯️🀝
 
Kua na watu bora, pamoja na kukuchallenge ni rahisi kukuelewa na kupata msaada.

Circle ya mamtu kibao yanayofata wewe unasema/kufanya nini hata kama una mamlaka/pesa sio njema kwako. Ni hatari siku akitokea mwingine anaekubalika kwao, wakishawishiwa vibaya juu yako ni hatari sana, na hawareason watamuamin master wao mpya.
 
Siku akitokea mwingine anaekubalika kwao wakishawishiwa vibaya juu yko ni hatari sana
πŸ‘†
Asante kaka mi nimechukua hapo
 
Binafsi mimi ninapenda kuwa na circle ndogo ya genuine people ila sometimes nimegundua maisha hayako hivyo.

Hautapatana na kila mtu, na pia hata anayekufanyia hiyana pia anakupa funzo maishani...

Tujifunze unconditional love. Simaanishi kukubali ana na kila mtu, bali kujua mtu anakuja akiwa na demages zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…