Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,478
- 14,772
Kwangu Mimi unatakiwa uwe circle ya watu wanaokuelewa wewe Kiongozi unataka nini kifanyike kwenye uongozi wako. Trump alienda kumleta Pete Hegseth kutoka kuwa mtangazaji na kumpa uwaziri wa Ulinzi (a.k.a War Minister according to Trump). Je, huyu ni mtu bora au ndiye anaweza kutafsiri Bosi anataka nini?So hapa mchawi hua ni tiki?
Lakini baada yapo ili kuendesha vizuri nchi
si inabidi uwe circle bora ?
Eeh amemuona ni mtu bora kwake kwa sababu anahisi ataelewa mawazo yakeKwangu Mimi unatakiwa uwe circle ya watu wanaokuelewa wewe Kiongozi unataka nini kifanyike kwenye uongozi wako. Trump alienda kumleta Pete Hegseth kutoka kuwa mtangazaji na kumpa uwaziri wa Ulinzi (a.k.a War Minister according to Trump). Je, huyu ni mtu bora au ndiye anaweza kutafsiri Bosi anataka nini?
We kama plagi hazichomi hata uwe na circle ya watu magenius tu hutafanya lolote.Eehhh watu shazii
Hakika hakika๐Making a hundred friends is not a miracle,
The miracle is to make a single friend who will stand by your side even when hundreds are against you.
Sawa mpaji MunguWe kama plagi hazichomi hata uwe na circle ya watu magenius tu hutafanya lolote.
Having good friends is like visiting a perfume shop,We kama plagi hazichomi hata uwe na circle ya watu magenius tu hutafanya lolote.
Bismillah MashaAllah ShemejiHaving good friends is like visiting a perfume shop,
you leave carrying a pleasant scent even if you buy nothing.
Leo humjui lol penzi lenu maji kupwa maji kujaa๐ ๐Shemeji kwa nani tena?
๐
InawezekanaUtajihisi unajitosheleza na una thamani yako bila kutegemea hali yoyote au idadi ya watu waliokuzunguka.
-self esteem
Kuna mambo kweli uahitaji mtu wa kushiriki naye lakini swala la thamani ni lako mwenyeweInawezekana
Lakini kuna mambo huwezi kufanya mwenyewe si ndio?
Ndio mkuu na mada inaongelea circleKuna mambo kweli uahitaji mtu wa kushiriki naye lakini swala la thamani ni lako mwenyewe
๐ Sina dada muuaji!Ni dada yake na binti kiziwi.
Baasiii๐๐ Sina dada muuaji!
Una hoja sana mkuuNdio maana mimi naonaga demokrasia sio mfumo sahihi wa kupata viongozi. Siamini kabisa katika nadharia ya wengi wape. Naamini wachache werevu ndio wanatakiwa kufanya maamuzi kwa niaba ya wengi.
Hakika mimi naona wewe unajitoshelezaWala sitaki kuwa na watu.
Natosha ๐.