Aggrrr... Mi haraka nikajua unazungumzia uzito kitandani .... gadem!Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !
mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!
Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??
binafsi nakereka !
cc; madoctors wote mnisaidie !
Hata wewe ni mzito kwenye kitu fulani ila walio karibu yako wanajitahidi tu kwenda sawa na wewe na kufukia mashimo yako ndivyo maisha yalivyo usione watu wamepiga kimya ukadhani uko smart sana.
kuna jamaa yangu akiona nyoka au jongoo anapanda juu ya makochi na anapiga yowe kwelikweli!ni mtu mzito mzitoJamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza mkuta yupo yupo tu hawezi kitu chochote hata kazi ndogo ndogo yeye huwa majanga kwake,ukija kwenye suala la pesa hachangamkii fursa yupo radhi alale njaa km hana pesa !hivi watu kama hawa huwa wanashida ipi jaman !
mtu wa namna hii mfano anaweza kukwama na gari badala ya kufight alitoe yeye anaweza jikuta analitelekeza hapo na kurud nyumban hawez jiongeza ampigie mtu amsaidie,mifano ni mingi sana nahitaj kujua mbona kuna wengine akili zao huwa zinaenda fast wengine zinakuwa very slow!
Na watu kama hawa wale chakula gan waamshe bongo zao? pia nimegundua huwa ni waoga yaan anahofu tu yeye sio wa kufanya jambo anataka ufanye wewe yeye amekaa pemben tu !namanisha wana HOFU !hyo hofu hutokana na nn??
binafsi nakereka !
cc; madoctors wote mnisaidie !
ni kweli kabisa usemayo !lakini imagine had jirani anakuspot anasema ah mbitiyaza mzito sana yupo lazy huon kuna shida sehem?
hahahahaahaahhAggrrr... Mi haraka nikajua unazungumzia uzito kitandani .... gadem!
ahahaah !aisee !mie ni mzito kujumuika jumuika na watu !huwa sipend sana !
tuanzishe vicoba jamanihahahahaahaahh
ahahaah !aisee !mie ni mzito kujumuika jumuika na watu !huwa sipend sana !
Kaupungufu tu dawa ni kutokuwa Karibu nae muda mwingi la sivyo utaishia kugombanaahahaahh !mapuuza !hata kunyanyua kamzigo ka kilo 20 anakuambia ah mie siwez bwana !hv huwa ni kamtindio au?