Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Tafadhari sana naomba usiniqoute..wewe ni laana/nuksi/uchafu uliotokota.

umeshiba makande mabichi umesahau hata jinsia yako? Idiot.

Kiukweli nna wasiwasi na jinsia yako ya Me !
Ila unabahati sana maana mimi nina Phd ya ustaarabu ndo mana nawezana na wazee..

Vijana kama nyinyi nmewatapika muda tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana guarantee ya kuwa na mm siku zote ,labda yeye ndo asitishe mahusiano...im awoman of my wrds
Mapenzi yatakuja kuwa uweni kumbuka umri uliotaja hapo ni watu wanao tegemea kikokotoo cha zamani unataka kuchukua ela zao ziki isha unasepa. Wanaume maisha yetu mafupi sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namaanisha ...sihitaji utani..na nikimpata ntaclose uzi kwa mod

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejoin tu leo na tayari hata mod unajua..



Fvck off. You here's a hoe (in the pimp named slickback's voice)

1500083497_tumblr_lq7rg71f1a1qkbfcho1_400.gif
 
na bado.mambo yanendelea kukaza tuu mpaka utaongeza umri.maana zamani ulianza kuwaalika wenye 40s.sasa umepanda kidogo.ila sema wenye huo umri wengi wanawaza kikokotoo kwa kuwa tayari wanakaribia
 
Back
Top Bottom