Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Watu wazima , kuanzia 58 yrs Nawazoom!

Asprin na Kaizer mnaitwa machinjioni.
Daby umezidi umbea!!! Muulize kama anakubali mtu asiye na kazi, ila ana nyumba na ana shamba. Kaka yangu ni hivyo na nimsomi ana degree ya Electrical ila ndo hivyo keshastaafu. Naogopa kumuuliza. Daby nina binti yangu mzuri ng'ombe wawili tu, upo tayari?
 
Huyu usimpe kaka atamharibu..baada ya mwaka hata hiyo nyumba hutaikuta.

niah ni jambo la kheri uwe mkwe wangu. Natanguliza shukrani.
 
Huyu usimpe kaka atamharibu..baada ya mwaka hata hiyo nyumba hutaikuta.

niah ni jambo la kheri uwe mkwe wangu. Natanguliza shukrani.
Nimeongea naye kumbe ana BF kwa sasa. Time will tell. Upo wapi kwani? Angalia wasiojulikana wasikufuate.
 
Mimi Nina miaka 55 vipi apo?
Pesa ninazo hata kukununulia ndege.
Nina mke na machali wanne, na videmu viwili.

Nina michepuko kumi na saba na yote nakichafua. Nina project endelevu sita.

Napenda mnoo 071*...

Vipi nitafaa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongea naye kumbe ana BF kwa sasa. Time will tell. Upo wapi kwani? Angalia wasiojulikana wasikufuate.
Mwambie kuna mkwe anamsubiri na n'gombe hao wa mjini awakimbie.
 
Mhu ulimwengu wa sasa unaweza mshauri mwana kweli? Dunia itamfundisha ila nitaongeza dau.
Hadi yawakute.

Na mnavyozaa vibinti vizuri kuwazidi hata kusikiliza unachokisema hasikii.
 
Back
Top Bottom