nanabooty
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 420
- 640
- Thread starter
- #161
Mbona umetusahau kulee!........napita
Umejoin tu leo na tayari hata mod unajua..
Fvck off. You here's a hoe (in the pimp named slickback's voice)
View attachment 1011405
Hata 40 sijafika lakini mimi kubehave kama wazee sishindwi!Unaenxperience ipi, sijakuelewa...vijana wana mambo meng hawajui kutulia sitaki mtu below 40
Sent using Jamii Forums mobile app
J kumpiga Annette kumenimaliza nguvu.Mbona umetusahau kulee!
J hafai kabisa,analeta wivu wa ajabu!J kumpiga Annette kumenimaliza nguvu.
Hapana asanteHata 40 sijafika lakini mimi kubehave kama wazee sishindwi!
Sina mambo ya vijana kabisa!
Legeza kidogo Baba Magufuli, vijana wako Wana haha kutafuta ma sugar Daddy
Mmmm ya kweli haya?Nipo hpa mama, mimi mtu mzima nimekisikia kilio chako eb nitafte pm uko tukale bata ikiwezekana hta Monaco nikupeleke ukakoge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We mbabu fursa hyo
Daaahh afadhali baba yangu mgane atapata kimama chakumliwaza,ila baba anasukari na umri ni 70+ sijui kama show ataweza kusimamia au atapigiwa.
Kuhusu mpunga mzee yupo poa,ni mstaafu wa ngazi ya juu zana Jeshini na anamikampuni yake kibao bongo na Dubai.
Kuhusu watoto zake tupo 3, sote tuwatu wazima wakike 1 wakiume 2,Na sote tuna jiweza kiuchumi,wenzangu 2 wapo UK Mimi nimehamishia maisha yangu Tanzania baada ya mzee kuwa mpweke tangu mama Aondoke.Kama upo interested nimeku PM uwe msaidizi wa mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] well tailoredDaaahh afadhali baba yangu mgane atapata kimama chakumliwaza,ila baba anasukari na umri ni 70+ sijui kama show ataweza kusimamia au atapigiwa.

Stakiiiii