Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 14,262
- 30,581
Hahaha yani
Nimestaafu nasubiria mafao yangu kama 55 million Mwisho wa maombi ni lini ili nijaribu bahati yangu.Hamujambo wanajf!
Nielekee kwenye point direkiti.
Wanaume mwenye age kuanzia 58 yrs kwenda juu.
Anayejiweza na mwenye uchu wa maendeleo ili tuweze kusaportiana ktk kutengeneza pesa zaidi.kibopa mwenye pesa zake ,
Mwenye kupenda kujiachia kias ili tuweze kula raha baada ya kazii,mcha mungu kiasi.
Awe na mke au asiwenaye bali tuwe na privacy yetu bila kumvunjia ndoa yke..
Anidekeze nami nimdekeze
Ajue kulea na kuhudumia sitaki bahiri ..na anisaport mtaji katika busness plan zangu
Huduma nitakazompatia cku zote ni kama
Ntakuwa liwazo na tulizo la moyo wake mda atakaonihitaji..
Ntammassage kuanzia kichwan hadi miguu na mikono yng lain
Ntampa mambo matamu yte ya dunia hii hadi akinai hasa ya chumbani,
Ntamfanya afurahi muda wote
Ill be around whenever he need me ..ntakuwepo muda wote atakaonihitaji
Akiwa na muda ningependa tusafiri ata nje ya nchi kwamambo mbalimbali
Kama yupo mkoa nipo tayari kumtembelea mara kwa mara
La mwisho mm ni ke 29 - 32yrs
Mwenye kababy face kazuri kenye aibu za kutosha, mpole usoni ila chumban sina upele
Vijana mtanisamehe sana sina nafasi kwenu na sitajisumbua nanyi
Nahitaji wazee tu..
Matusi sitaki katika uzi wangu.
NAKARIBISHA PM KWA BABAZ 58YRS UPWARD..ata ukija na fekero account sawa ila ukidhi mahitaji na vigezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Amini nachokuambia hiki ni kitunguu maji kilichotokota..ni mtoto wa kiume yuko ghetto akiwachatisha.Vitunguu maji au swaumu? [emoji23][emoji16]
Ohooo ni shida sasa hiiAmini nachokuambia hiki ni kitunguu maji kilichotokota..ni mtoto wa kiume yuko ghetto akiwachatisha.
Mafao ya wazee uyahurumie wewe mtoto
Wakuwache mwaya, papuchi yako mwenyewe wanataka kukupangia matumiziNegativity sizitaki...vijana naomba mpite pembeni kwenye uzi wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muogope mungu...mimi ni ke! Na mbona ni vitu vya kawaida san ivi..nina mtoto na nimechoshwa na drama za vijana...nahitaji mzee niangalie maisha na kulea mwananguAmini nachokuambia hiki ni kitunguu maji kilichotokota..ni mtoto wa kiume yuko ghetto akiwachatisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amini nachokuambia hiki ni kitunguu maji kilichotokota..ni mtoto wa kiume yuko ghetto akiwachatisha.
Utazeeka kabla ya umri ujue ukipenda wazeeMuogope mungu...mimi ni ke! Na mbona ni vitu vya kawaida san ivi..nina mtoto na nimechoshwa na drama za vijana...nahitaji mzee niangalie maisha na kulea mwanangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ile midoli mama alikununulia akakwambia hawa ni watoto wako umeona tayari na wewe unaweza kuzaaTehteh..mimi nakuzaa wewe
Nakutakia safari njemaNaona mnailazimisha vijana vijana siwataki mapenzi yao yamenishinda
Sent using Jamii Forums mobile app
weeeee!!!Ebu niachie wazee wangu ...akinipata mm na pressure imepona maana moyo wake utatulia
Sent using Jamii Forums mobile app