hbr za asbh wana jamvi.km kilivyo kichwa cha hbr hapo juu.asbh ya Leo kuna wezi wawili wamechomwa moto Tabata mitaa ya liwiti.inasemekana majambazi hao walikuwa kwenye pikipiki wakamkwapua mdada pochi.ndipo watu walipowafukuzia na kuwakamata na hatimae kuchomwa moto.cjafanikiwa kuchukua picha ila Kama kuna mwenye Nazo au habari zaid atuwekee.
hiyo ndo dawa yao ...sahizi ni kuwachoma tu...
so sad vidagaa vinachomwa moto Mapapa wanaachwa
Sasa nenda pale kwa kova uulize wana mikakati gani kuhusu huu ujamabazi wa kutumia silaha na pikipiki,UTACHOKA....ila kuhusu ukawa na cdm ipo mingi sanaHizi pikipiki hizi
hapana mkuu walikuwa wawili na pikipiki.yule wa nyuma akakwapua then wakaanza kukimbiza pikipiki ndipo watu walipoanza kuwafukuzia.baada ya wanyuma kuona watashikwa akashuka ili akimbie kwa mguu ndo aliposhikwa.wkt huo yule dreva akaanza kuwapitisha watu chochoroni ili awapotee.bht mbaya nae wakamkamata wakamchukua na kumleta mpk liwiti alipokuwa kashkiliwa mwenzie ndo wakachomwa pamojaWhat if hawakuwa wezi!? Kulikuwa na ushahidi!? Labda ni mazingira tu yamewakuta vibaya.Haya maswala ni magumu
Sasa nenda pale kwa kova uulize wana mikakati gani kuhusu huu ujamabazi wa kutumia silaha na pikipiki,UTACHOKA....ila kuhusu ukawa na cdm ipo mingi sana
ha ha ha ha"umetisha mkuu.na ndo dawa yao mana wakienda polisi wanatoka ndani ya lisaa.wkt huo wanarudisha watu nyuma kimaisha.tatizo watu wanaotetea wezi hayajawahi kuwakuta.endapo km wangekutana nayo kwenye 18 bc MTU asingetetea jambazi.mbona wao kila kukicha wanashoot wenzao iweje wao waonewe imani.Duhh,hii ndio dawa yao.
Maana siku hizi huu mchezo umeshamiri sana.Maana juzi Ilala kunda mdada alikwapuliwa simu hivyo hivyo.Lakini walikimbia maana njia iliwa ni kubwa na watu hawakuwa wengi.
Hawa wakichomwa basi wenzao wanapata taarifa wanapunguza makali kwanza.
Mwenye kutete wizi basi ujue either baba yake au mama yake anaasili ya wizi.
Ni Sawa na mzinifu,akitetea Malaya basi ujue Baba yake au Mama yake ni Malaya
Usijali kiongozi,tutaokota nyingine..!!!Nguvu kazi imepotea...