M Magazine Fire JF-Expert Member Dec 28, 2011 1,365 1,462 Jul 13, 2021 #23 Hiyo ilikuwa inside job hakuna kingine.
Muuza viatu JF-Expert Member May 14, 2020 3,840 7,916 Jul 13, 2021 #24 Ktk kundi LA wapambanaj ishirini na nyingi ni watu nane tu ndio waliokua wanaujua mchezo mzima wengine wote waliambiwa wanaenda kumkamata jamaa akiwa hai bila mkwaruzo na hao nane mpaka sasa hakuna aliyekamatwa na hawajulikani walipo
Ktk kundi LA wapambanaj ishirini na nyingi ni watu nane tu ndio waliokua wanaujua mchezo mzima wengine wote waliambiwa wanaenda kumkamata jamaa akiwa hai bila mkwaruzo na hao nane mpaka sasa hakuna aliyekamatwa na hawajulikani walipo