Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,681
- 12,308
Sina hakika aliyenunua umeme kwa namba yangu ya LUKU alikuwa na malengo gani au ni bahati mbaya,sina nijualo!!???)))Mtu alinunua umeme kwa kutumia meter number yako ili iweje maana hawezi kutumia popote zaidi ya kwako.
Anyway, ili kurudi kwenye tariff ndogo basi ni kuendelea 'kumaintain' matumizi madogo ndani ya miezi mitatu kama sikosei halafu utaenda tanesco wakurudishe.
Hata mimi nimeshangaa maana ninavyojua ukizidisha kwa mwezi wa kwanza unapigwa faini, ukizidisha mwezi wa pili faini mwezi wa tatu ndipo wanakurudisha kwenye tarrif kubwa.Pole Mkuu, Inamaana Mwezi Mmoja Tu Ukizidisha Matumizi Tanesco Wanaona Ushakuwa Mtumiaji Mkubwa?
Hata mimi nimeshangaa maana ninavyojua ukizidisha kwa mwezi wa kwanza unapigwa faini, ukizidisha mwezi wa pili faini mwezi wa tatu ndipo wanakurudisha kwenye tarrif kubwa.
Halafu mimi nilikuwa nadhani hata ununue unit nyingi hata 200 ndani ya mwezi uweke kwenye luku hawamaindi ili mradi matumizi yasizidi 75 units kwa mwez kumbe inabidi hata kununua usizidi hapo maana nimebadirishiwa tarrif mwez uliopita[/QUOTEhapana Kila Mwezi Unanunua Umeme Wa Tarif Yako,haijalishi Iwe Umemaliza Unit Au La Ila Tu Ndani Ya Mwezi Huo Usipitilize Unit Ulizopangiwa I.E 75 maelezo Haya Ndo Nayoyafahamu Maana Nlishakuwa Wa Tarrif 4 Kwa Mabweni Ya Wanafunzi Wa Shule Ya Msingi,nlikuwa Nawanunulia Wa 6500 Kila Mwezi Haijalishi Unaisha Au La Kuna Kipindi Unajikuta Unit Zimejiaccumulate Mpaka Mia 300 Huko Lakini Kila Mwezi Lazima Ununue
Kaka utaki kupanda cheo?Maana hapo kitaamu inaonyesha uchumi wa familia umekua ndio maana hata matumizi yameongezeka.Swala la kusema umenunuliwa umeme na watu wasiojulikana sio kweliHabari za Mei Mosi,
Nilikuwa napata umeme units 75,kwa chini ya 9200 kwa mwezi.
Mwezi wa nne mwanzoni nilinunua umeme na kupata units 36, baada ya siku 3, watu/mtu asiyejulikana akanununua umeme na kupata units 41,bila mimi kujua chochote.
Jana nikaenda TANESCO kununua umeme wa 4,000 cha ajabu nikapata units 9 tu, nikashtuka sana.
Nikaenda kuuliza ndio nikaambiwa kuwa ndani ya mwezi Aprili nimenunua umeme zaidi ya units 75 za kwenye tariff yangu, hivyo nimepelekwa tariff 4, ambayo nanunua umeme kwa unit 1 kwa Tsh 350.
Naomba kujua nini nifanye ili nirudishwe kwenye tariff yangu ya awali? Maana nyumba ni ya familia tu na hatuna matumizi ya umeme makubwa.
Cc:TANESCO
Asanteni wote.
jini Kisirani Hilo Jiko La Umeme La Energy Saver Ulinunua Wapi Na Sh Ngapi?Ni Yale Makubwa?Yana Oven Pia Na Pasi Ningependa Kujua,hapo Pa Friji Ndo Sitoweza Maana Ninauza Majimaji Mabarafu Kwa Hiyo Lazima NpigikeMi nanunua umeme wa elf9 kila mwezi, matumizi yangu ni napikia jiko la umeme la enegy sever, pasi kila siku, na nina taa tubelight kama 6 zinakesha za nje, nyumba ni family size.sema fridge nawasha mchana tu na usiku inazimwa
Habari za Mei Mosi,
Nilikuwa napata umeme units 75,kwa chini ya 9200 kwa mwezi.
Mwezi wa nne mwanzoni nilinunua umeme na kupata units 36, baada ya siku 3, watu/mtu asiyejulikana akanununua umeme na kupata units 41,bila mimi kujua chochote.
Jana nikaenda TANESCO kununua umeme wa 4,000 cha ajabu nikapata units 9 tu, nikashtuka sana.
Nikaenda kuuliza ndio nikaambiwa kuwa ndani ya mwezi Aprili nimenunua umeme zaidi ya units 75 za kwenye tariff yangu, hivyo nimepelekwa tariff 4, ambayo nanunua umeme kwa unit 1 kwa Tsh 350.
Naomba kujua nini nifanye ili nirudishwe kwenye tariff yangu ya awali? Maana nyumba ni ya familia tu na hatuna matumizi ya umeme makubwa.
Cc:TANESCO
Asanteni wote.
Kuna jamaa wa magari walikuja ofisini kwetu wakauza. Ni mchina la plate moja wanauza 150000. Ila niliyaona bangarole wanauza kama elf 60 za kibongo, na yapo original yake plate2 yanauzwa laki 7 ya kibongojini Kisirani Hilo Jiko La Umeme La Energy Saver Ulinunua Wapi Na Sh Ngapi?Ni Yale Makubwa?Yana Oven Pia Na Pasi Ningependa Kujua,hapo Pa Friji Ndo Sitoweza Maana Ninauza Majimaji Mabarafu Kwa Hiyo Lazima Npigike