Umejuaje kama ni wana CCM? Wamekamatwa na kadi zao nini?
Vijana watano wa ccm wamekamatwa baada ya kuleta fujo kwenye mkutano wa Dr Slaa unao fanyika kata ya Mabamba Mkoani Kigoma.
Mmoja wa vijana hao alikuwepo kwenye mkutano wa jana ambapo walipewa fursa ya kueleza wanachotaka na kuulizwa maswali, alijitambulisha kuwa ni mtoto wa katibu mwenezi wa CCM.
Nitawajuza zaidi.
Kama siyo wana CCM basi yatakuwa masalia kutoka Chadema a k a pro ZittoUmejuaje kama ni wana CCM? Wamekamatwa na kadi zao nini?
Kinachofurahisha kwamba ni vijana wasio tosha wakati tuliaminishwa kuwa Kigoma nzima mara kutakuwa na maandamano makubwa ,ooh mara hiki na kile mwisho wa Zitto Kabwe amefurahi kwamba kuna watu wanaingiakwenye mgongano na polisi jambo maccm hataamrisha watolewe
Jeshi la Polisi wilayani Kibondo limewakamata watu wanne kwa kosa la kutaka kuvuruga mkutano wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa unaoendelea muda huu katika kata ya Mabamba wilayani Kibondo
Mwandishi wa Redio Kwizera Fm James Jovin amesema kuwa watu hao walikuwa na mabango yenye maneno yanayoonesha kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya CHADEMA ya kuwavua madaraka Zitto Kabwe na wenzake, lakini hata hivyo wameelekezwa sehemu ya kukaa ili mabango yao yaweze kusomwa vizuri na Dk Slaa, wamekaidi malelekezo hayo ambapo imebidi Dk Slaa aliagize jeshi la Polisi kuwakamata watu hao kwani mkutano huo ni kwa mujibu wa sheria
Watu hao ambao majina yao hayakujilikana papo hapo wamepelekwa kituo cha Polisi na Dk Slaa amemuagiza Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Kibondo kufuatilia kesi hiyo kwa ukaribu
Source;JAMES JOVIN, REDIO KWIZERA
Vijana watano wa ccm wamekamatwa baada ya kuleta fujo kwenye mkutano wa Dr Slaa unao fanyika kata ya Mabamba Mkoani Kigoma.
Mmoja wa vijana hao alikuwepo kwenye mkutano wa jana ambapo walipewa fursa ya kueleza wanachotaka na kuulizwa maswali, alijitambulisha kuwa ni mtoto wa katibu mwenezi wa CCM.
Nitawajuza zaidi.
Tuntemeke hayupo katika hao??
ngoja aje ajibu hapa
Mbona hueleweki wewe? kwani hakuna wapinzani wa DR SLAA na CC ambao ni wafuasi wa CHADEMA?
Hamna…waliokuwepo ni pro TeamZitto
Tuntemeke hayupo katika hao??
ngoja aje ajibu hapa