Watu wanne wakamatwa kwa kutaka kuvuruga Mkutano wa Dk Slaa - Kata ya Mabamba Kibondo

Mkutano unaendelea. Kuna wakati ulisimama kama dakika tano kupisha adhana, maana uwanja uko karibu na msikiti. Muda huu anazungumza mwenyekiti wa kanda (Magharibi), Shaaban Mambo.

Picha Please. hatutaki bla bla humu
 
Samahani kwa Kuchelewa kuwaletea taarifa ya Mkutano unaoendelea hapa Mabamba Kigomba wa Dr.slaaa,Kabla ya Kuanza kwa Mkutano Watu sita wameshakamatwa hapa,Vijana walioongoza maandamano ya Kupinga kung'olewa kwa Zitto kabwe.
Na taarifa zinasema Vijana wanne wamekamatwa jana Pale kakonko kwa Tuhuma za kubeba Mabango ya kupinga hatua za Kamati kuu ya CHADEMA kuwavua vyeo ZItto na Kitila kwa sababu yamejaa chuki,Ufamilia na Mchezo mchafu kuelekea uchaguzi wa ndani ya CHAMA.
Mwenyekiti wa Tawi hapa Mabamba yupo jukwaani muda huu anajiandaa kumkaribisha Dr.slaa

MORE UPDATES TO COME,

Nimewahi kusema hapa jukwaani ya kwamba mngelikuwa mnaoonekana ,hakika mngelikuwa hamuandiki vitu vya kuzusha na vya kipuuzi kama hivi,maana ungeliogopa japo macho ya watu,sasa unatuambia uko Mambamba Kigomba,sasa huko ni wapi?Mara unatuambia ya Kakonko kwamba taarifa zinasema,wewe si ulisema uko Kakonko?na ndio maana nikakuuliza wewe unatoa wapi fedha za kusafiri kufuatilia ziara ya katibu mkuu?au ndo project funded by MM and Maccm?
Na hao mnaowalipa pombe na kisha mnawalisha ugali wa LOWE,angalieni tu wasije wakarusha mawe kwenye mkutano na au hata kumrushia mawe Dr Slaa,hapo mtakuwa mnatafuta mengine,msidhani sio mapoyoyo,tumejipanga kukabiliana na upuuzi kama huo na kuangalia usalama wa raia wasioyumbishwa wanakuja kusikiliza hotuba za Dr Slaa.
Najua wewe siku unaingiza kupitia mradi huu,endelea Tuntemeke.
 
Du ndo basi tena CHADEMA Kigoma. Pole sana Dr. Bora kalee mtoto wako tu na Josephine
 
Magwanda si walikuwa hawataki polisi kwenye mikutano yao? kulikoni mabadiliko haya? leo polisi wamekuwa wazuri kwao?

Amma kweli, sikio la kufa halisikii dawa.
 
Huyu Tuntemeke bila shaka ni muhusika katika kupanga hujuma hizi dhidi ya Dr.Slaa.

Mtashindwa tu katika hili kama mlivyoshindwa katika mengine mengi yaliyotangulia.
 
Huu ni ulaghai mwingine wa CHADEMA. Jana Yeriko Nyerere alitudanganya kuwa mtandao ulikosea kutuma picha. Mtoi anasema kuwa waliokamatwa wamegoma kupigwa picha za video na mnato. Dah hakika huu ni ujuha wa hali ya juu
Hii haina maana picha hazitapgwa au hawajapigwa ,wamepigwa kwa lazima sio kwa hiari yao , virusi vimebambwa na sasa inadhihirisha jinsi walivyo kati ya kuendeleza fujo na kujifanya wanachadema kumbe vimelea vya CCM siasa za Kikwete na Mwigulu za kishamba sana unafaya ujinga kwenye jamii ndogo ambapo karibu kila mtu anamfaahamu mwenziwe
 
Huyu Tuntemeke bila shaka ni muhusika katika kupanga hujuma hizi dhidi ya Dr.Slaa.

Mtashindwa tu katika hili kama mlivyoshindwa katika mengine mengi yaliyotangulia.

Tuntemeke si ni ile ID ilikuwa inatumika na masalia JUliana Shonza,Mtela , Gwakisa Burton,Sanga,Mchange,Nyakarungu si dnio hao wanaoratibu fujo hizo ,unaweza ukapima jinsi ndugu yao mzee wa masalia aka Zitto ambavyo amekosa support, walionyuma yake hawajai kwenye kiganja pole zao wanasafiri na Dr Slaa kuratbu wafanya fujo hao ni graduates wanaoishi kwa kulamba viatu vya watu
 
Kila siku mie nasema japo kweli na kiri kuwa cdm damu lakini ukweli unabaki kuwa ukweli tu Dr.Slaa ni namba nyingine...najua watu wanafanya vurugu kama hizi kupitia mgongo wa Zitto Kabwe japokuwa na mashaka kidogo na hili...lakini kama nikweli Zitto Kabwe hawezi kucheza rafu za kisiasa na huyu Mzee vinginevyo atapotea kwenye ulimwengu wa siasa yungali na damu mbichi kabisa kama Dr Kaborou...nilimwona Zitto kwenye Kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani pale kata ya Kirumba jijini Mwanza, akiponda jukwaani kwamba ccm wamememuleta Dr.Kaborou kuwasaidia ilhali kasha choka kisiasa...na sikitika nayeye anakwenda kuungana naye..just a time matter
 
Magwanda si walikuwa hawataki polisi kwenye mikutano yao? kulikoni mabadiliko haya? leo polisi wamekuwa wazuri kwao?

Amma kweli, sikio la kufa halisikii dawa.

Lini polisi aliacha kuwepo kwenye mikutano ya chadema kubwabwaja ujinga ni sifa moja wapo kwa MACCM
 
wao hawajaenda kuswali? na iweje uwanja wa mkutano ufanyike karibu na msikiti ilhali leo ni ijumaa? wewe Mtoi hujaenda kuswali?
Lazima kichwa chaako kitakuwa kimejaa maji maswali gani ya kijinga namna hiyo
 
Taarifa kutoka eneo la tukio.

Mkutano unaendelea kama kawaida, wametajana na waliokamatwa ni wafuatao:

1. Yoli James

2. Fasha Alex

3. Muhamed Hamis

4. Lala Hamis

5. Nuru Yusuph

6. Mateso Juma Mkwashu

7. Bahati Salum

8. Shakuru Nassoro Mahusen

9. Muliliye, Awadh Hassan na

10. Bulikoko.

Wenyeji wamewatambua ni watu wa CCM. Kama kawaida wamelewa kama wale wa jana. Leo hawataki hata kuchukuliwa picha za video wala mnato, sasa wanafikishaje huo ujumbe wao? Kwamba wanaCCM wanampenda zaidi Zitto kuliko wanaCHADEMA? Lina walakini hili.

ha ha ha ha ha ha!!!!!

maccm mna mbinu za kizamaaaani kweli kweli.

mtakufa kwa pressure mwaka huu.yanatamani yangesikia dr. kapigwa na kitu chenye ncha kali kama sio westgatemall huko kigoma.

tulishawaambia waha ni waelewa mno na hawawezi wakafuata mkumbo wa huyo mbembe a.k.a mbwali vyovyote ajiitavyo kama ni mtongwe hewala au mgoma sijui kutoka goma atajua mwenyewe.

95% ya mkoa wa kigoma ni waha na hao waliobakia ni wahamiaji haramu toka kongo ambapo zitto ni miongoni mwao.

kwa akili ya waha ninavyoijua mimi hawawezi kumshadadia huyo mbembe hata siku moja.

sapoti yake ni kwa walee waswahili wenzangu na mimi tuwazao nyuma ya masufuria ya pilau na maccm yaliyopandwa kama haya.

siasa za kigoma zipo zaidi ya ndani ya box sisi tunazijua!!!

zitto attakwenda na maccm yake kama ilivyokuwa kwa kabouru....... na huo ndo ukweli.
 
Vijana watano wa ccm wamekamatwa baada ya kuleta fujo kwenye mkutano wa Dr Slaa unao fanyika kata ya Mabamba Mkoani Kigoma.

Mmoja wa vijana hao alikuwepo kwenye mkutano wa jana ambapo walipewa fursa ya kueleza wanachotaka na kuulizwa maswali, alijitambulisha kuwa ni mtoto wa katibu mwenezi wa CCM.

Nitawajuza zaidi.
Chadema mnachekesha sana kila siku mnasema amna imani na jeshi la polisi leo hii mna imani nalo?
 
Sasa hapo wameleta vurugu gani wakati watu wanatekeleza katiba ya tanzania ambayo inampa mtu uhuru wa kujieleza. Hii inathibitisha kuwa viongozi wa cdm wanaelement za kidikteta hawataki kuambiwa ukweli. Namshangaa sana slaa anadhani chama hicho ni cha wazazi wake wakati yeye ni mmbulu. Shame on you
 
View attachment 125228Sawa kapate kitu Tuntemeke

Usanii high grade! wanajifanya wanakula sawa na wananchi chakula kimoja wakatia wakitoka hapo wanasafirsha makontena ya Ndovu na kujinufaisha wenyewe huku wakijua kuwa ni kinyume na sheria za nchi!

Wakitoka hapo utanisikia "...Bwana Nape naomba andruziii, au kama una magenisiamu kwenye mkoba wako nitulize gesi ya maharage..." Mafisadi hawaja zoezea kuishi maisha hayo wanatudanganya tu.
 
Back
Top Bottom