thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Kuna mama mmoja alizaa mtoto na mchina kisha mtoto akafariki baada ya miezi michache.wakiwa msibani wanalia alisikika jirani yake alikuwa anamfariji akisema:-shoga nyamaza si unajua vitu vya kichina hua havidumu!!!@/