Watu wangu wa R&B burudikeni kwa hizi track

Hapo ukiweka wimbo was All 4 One "These arms" ulikuwa unasuuzisha sana ubishoo Wang wa miaka hiyo!
Halafu kulikuwa na "Not Ready For Goodbyes" wa hao hao All 4 One. Mojawapo ya ngoma ambazo niliimba Karaoke Moja nikang'oa na mzigo that night....
Hahahaaaaa! Those days of Music
 
Back
Top Bottom