Kwanini hawaogopi hii ama haina madhara??.
Wajuvi karibuni.
Nimewaona wengi tuu wanahangaika kupigapicha huku wakiwa karibu kabisa na hii lava.
Je, haiwezi kulipuka ikaleta madhara?. View attachment 775609View attachment 775610View attachment 775611View attachment 775612View attachment 775614
Ndio imelipuka tayari naulizia kuhusu watu wanao isogelea na kamerazao kuipigapicha.Hiyo imetokea Hawaii na imeripuka tayari sasa unataka iripuke mara ngapi
pambanua vizuri iliyo ndani ya ardh kabla ya kuripuka ni nini? na inayotoka nje baada ya kuripuka ni nin?"Lava" ni Volcano iliyopoa na "Magma" ni Volcano ya Moto
Kwahiyo hiyo ni volcano ya moto inaitwa Magma na sio Lava
Naomba nikurekebishe kama upo tayar."Lava" ni Volcano iliyopoa na "Magma" ni Volcano ya Moto
Kwahiyo hiyo ni volcano ya moto inaitwa Magma na sio Lava
Iliyobado ndani chini ya ardhi ktk muundo kama uji wa moto ni MAGMA na ikilipuka na kutoka nje ya ardhi na kuanza kutiririka sambamba na moto hiyo ni LARVA.pambanua vizuri iliyo ndani ya ardh kabla ya kuripuka ni nini? na inayotoka nje baada ya kuripuka ni nin?