Ni sawa kuvaa condom baada ya kunyonyana

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Natumaini mnaendelea salama ndugu zangu.

Rejea somo tajwa hapo juu

Kumekua na tabia ya kunyonyana ndimi na kunyonya nyonya maeneo mbali mbali ya wapenzi wetu pamoja na kumpa mic mwanamke arapu huku mwanaume akipewa kazi ya kupiga deki kunako kipochi manyoya na kisha wapenzi kuvaa condom na kuanza kunyanduana

Dhana hii imenifanya sana ni waze je, tunacho kifanya kama wapenzi ni sahihi au siyo sahihi na sipati majibu kabisa na hata kama siyo sahihi kwanini vijana wengi wanaendelea na mchezo huu.

Je, ni yapi madhara au faida za mchezo huu wakuvaa condom baada ya kunyonyana wanaoufanya vijana na mabinti wengi wakiwa faragha?

Nakaribisha maoni yenu
 
Hello there
The risk of HIV transmission with oral sex with a woman is extremely low. It is even reasonable to state that for the person receiving oral sex (that is on whom oral sex is being performed) the risk of acquisition of the virus is practically zero. For the person placing his or her mouth on someone else's genitals, the risk may be slightly higher but still very very low. Theoretically, obvious cuts, wounds, sores, or infections in the mouth could raise this risk (such as the broken tooth you describe). But relatively speaking this is still considered to be a low-risk sexual activity as the mouth is not a hospitable place for the HIV virus. Please note that other sexually transmitted infections are readily spread via oral contact and you may need to be checked for these.
Take care
Dr W
 
It's depends....Kama Kuna contact ya blood btwn you two's (e.g.michubuko)kwa njia Yoyote una risk ya kupata AIDS....but Kutovaa condom Kuna risk ya kupata other disease Kama oral and oesaphagel cancer sio lazima HIV/AIDS TU......simply vaa condom usiwaze ukimwii TU Kuna magonjwa mengi pia unaweza kupata hata STIs pia
 
Faida za uvaaji wa condom wakati wa tendo la ndoa ni nyingi ikiwemo; ni njia ya uzazi wa mpango, kuzuia maambukizi ya magonjwa ya zinaa pamoja na magonjwa mengine yanayoambukizwa kwa maji maji ya mwili. Nikirejea swali lako, ukishiriki mapenzi kwa njia ya mdomo (kunyonyana) kuna hatari (risk) ya kuambukizwa baadhi ya magonjwa ya zinaa ikiwemo Herpes, Hepatitis B, Hepatitis C, HPV, HIV na mengine ikiwemo risk ya saratani ya koo (kutegemeana na factors nyingine nyingi). Kwahiyo faida ya kutumia Condom baada ya kushiriki mapenzi kwa njia ya mdomo ni utazuia mimba.
 
Ipo haja kulingana na lengo, labda hawataki mimba ila hivyo vingine hawana habari navyo
 
Dah! Badala ya kulala upumzike,uwazie siku ya kesho,kunyonyana tuuu. Yaani kula matunda kimasihara bado. Aise.
 
Back
Top Bottom