Watu wanapiga picha karibu na lava, je haina madhara?

Liwagu

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
5,231
6,283
Kwanini hawaogopi hii ama haina madhara??.
Wajuvi karibuni.
Nimewaona wengi tuu wanahangaika kupigapicha huku wakiwa karibu kabisa na hii lava.
Je, haiwezi kulipuka ikaleta madhara?.
Screenshot_2018-05-12-23-20-50.jpg
Screenshot_2018-05-12-23-20-40.jpg
Screenshot_2018-05-12-23-23-36.jpg
Screenshot_2018-05-12-23-23-30.jpg
Screenshot_2018-05-12-23-23-16.jpg
 
Hiyo imetokea Hawaii na imeripuka tayari sasa unataka iripuke mara ngapi
Ndio imelipuka tayari naulizia kuhusu watu wanao isogelea na kamerazao kuipigapicha.

Kuna watu wamehama ktika meeneo hayo Ila kuna wengine wanaona kama utaliihivi wanaisogelea karibu sana, nimewasikia wengine wanasema waoo it's very beautiful.
Nikashangaa kidogo kwanini hawaogopi nakukaa nayo mbali.
 
This is what I mean, wanajihatarisha kama hivi.
Screenshot_2018-05-13-07-33-53.jpg
 
"Lava" ni Volcano iliyopoa na "Magma" ni Volcano ya Moto
Kwahiyo hiyo ni volcano ya moto inaitwa Magma na sio Lava
Naomba nikurekebishe kama upo tayar.
Magma ni kimiminika kizito cha moto kinachoweza kulipuka kama volkano bila kifikia uso wa dunia lakini lava ni kile kinachofika ktk uso wa dunia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom