Uji mtupu, umeandika nini?Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa mnawakabilije mtandaoni?
N:b hawa ni wa WhatsApp, fb na Instagram
#stayhome #coronaSent using Jamii Forums mobile app
Low iq huwezi kuelewaUpumbavu huu lawama wanapewa wavuta bangi wote
Nimekusoma vema mkuu. Hii tabia inakera hasa unamtext mtu unaona blue tick lakini hajibu na kila dakika yuko online. Kuna mmoja aliwahi kuweka status ya kujiwish happy birthday nikareply Happy birthday to you brother. Mpaka mwakani hajawahi kujibu ile comment na hiyo ilikuwa january mwaka jana. Nilipoona hivo nikamblock pande zote. Akiwa na shida na mimi lazima anifuate physically maana hata akitumia simu ya mtu nikijua ni yeye huwa namjibu niko busy aje nyumbani. Zipo sababu zilizonifanya niwe hivo hiyo nimojawapo.Hawapost hovyo wala hawaweki status kwenye mitandao Mara kwa Mara na hawaangalii status za watu na wako online anytime je haya yana ukweli wanajiheshimu/wanadharau? Na watu kama hawa mnawakabilije mtandaoni?
N:b hawa ni wa WhatsApp, fb na Instagram
#stayhome #coronaSent using Jamii Forums mobile app
πππ Unakuta kale kamstari ka status kamejaa mpaka kametengeneza kama duara kabisa (30 post tena videos)Unaweza ukawa haupost status ila bado ukawa haujiheshim sidhan kama kutokupost ni kipimo cha kujiheshem
Japokua mm nipo upande wa wale ambao huwa hatupost status Mara kwa mara na siangalii status za mtu anaeweka status nyingi kwa siku kila baada ya lisaa lakin kupost kwao haimaanishi hawana tabia njem
GunFire
kuna vijana wamekariri namna ya kucomment kumbe sometimes wanadhihirisha uvivu waoWrite your reply...Write your reply...ukiwa na low IQ au kilaza huwezi elewa alichoandika mtoa mada hata kama ni pumba
lazima uwe na uwezo wa Ku process uwezo wa kumsoma mtu na kumchanganua
mtoa mada nikujibu mada yako tu kupost au kutopost haku onyeshi character yako maana hivo vitu ni kama options tu mbona kuna watu wananunua binadamu wenzao still wanapost status za dini na maneno ya mungu