Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

Mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe
Tamaa mbele, mauti nyuma
 
Ukiwa tayari katika maisha ya ndoa kuna mambo yakupasa kuvumilia tu, na isifikirie sana ushauri wala unayoskia!!!
 
Ushasema masikini tayari, Kwa hiyo acha apambane na hali yake
Ila tuseme kweli hizi old school group watu wanakulana sana
Mungu shahidi sijawai japo ex wangu wapo huko. ila unatongozwa na mtu Wala hukuwai kumfikiria. yaani haya magroup acha tu
Kuna mwenzetu mke wa mtu Ana mimba ya classmate from group. Na Ana mume mzuri tu maskini





Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom