Lily Tony
JF-Expert Member
- Feb 6, 2019
- 3,318
- 4,360
umeandika kwa hisia kiasi cha kushindwa kujizuia kucheka
umeandika kwa hisia kiasi cha kushindwa kujizuia kucheka
Ndio hivyo mkuu ..fata ushauri wangu ..utanipa mrejeshoAhahahahahahahahahahahha...Na hiv sinaga "siredi" humu basi ndio maana
Dah!!! Pm yangu kama iko jangwan vil ilivyokaukiwa.Haijawah hata kudondokewa na tone la message ya bahati mbaya.Cjui ina gundu ga.
mzima!
😂😁😁😁 nimekuambia nimekumiss?
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] nimekuambia nimekumiss?
Ahahahaha..Yan kama kutarajia tren pale ferryumeandika kwa hisia kiasi cha kushindwa kujizuia kucheka
Poa chief.Ngoja sku zipite kidogo na mm nianze kujifanya mtumishi wa kitengo.Mara afisa wa bandari niwakamate watoto humNdio hivyo mkuu ..fata ushauri wangu ..utanipa mrejesho
Ila tuseme kweli hizi old school group watu wanakulana sana
Mungu shahidi sijawai japo ex wangu wapo huko. ila unatongozwa na mtu Wala hukuwai kumfikiria. yaani haya magroup acha tu
Kuna mwenzetu mke wa mtu Ana mimba ya classmate from group. Na Ana mume mzuri tu maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo uchanuliwe kisha utatuliweWewe ni K kumbe.. Tatizo ni id yako bana.. [emoji26] [emoji26]
Wacha nije kukumwagilia
Sent by anonymous user