Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

mtakosaje kukulana huko watsap na ukizangatia una kuta classmates wengine washatoboa wako mbal kimaisha.Hata kama hamkuwah kuwa marafik atakugonga tu.Na hiv mitamaa kama yote na huna mbele wala nyuma chini ya jua.
Acha mgongweee mpaka akil ziwakae sawa kujipendekeza kusiko na maana nyie dada zetu
 
PM huwa zinafanya kazi ipasavyo ..acha wakulane
Dah!!! Pm yangu kama iko jangwan vil ilivyokaukiwa.Haijawah hata kudondokewa na tone la message ya bahati mbaya.Cjui ina gundu ga.
 
Mi nlikua nawapa alert button wananiita mi mtoto.mi kufanikwa kugundua uozo ni kibahatibahati tu namsaidia mwingine naonekana fala.kazi kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Uzi mmoja ulichukua headline humu jf wa yule jamaa anaeambukiza HIV wanawake kwa makusudi .alikuwa na malengo ya kuambukiza wanawake kumi humu jf.kama ule Uzi alikuwa na ukweli ..basi mambo ni hatari
 
Back
Top Bottom