Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

Watu wanakulana sana kwenye whatsup group

Dah!!! Pm yangu kama iko jangwan vil ilivyokaukiwa.Haijawah hata kudondokewa na tone la message ya bahati mbaya.Cjui ina gundu ga.
Hahahh..sio gundu mzee ..labda ujaweka mazingira sawa..kupanga ni kuchagua..ukitaka watakuja wengi sana hahahahh

HINTS
1.jisifie una pesa,kazi nzuri kwenye baadhi ya nyuzi zako
2.jisifie unajua kugegeda
3._______ni

NB ..pesa ndo mchawi wao ..watakuja na utawala sn
 
Ila tuseme kweli hizi old school group watu wanakulana sana
Mungu shahidi sijawai japo ex wangu wapo huko. ila unatongozwa na mtu Wala hukuwai kumfikiria. yaani haya magroup acha tu
Kuna mwenzetu mke wa mtu Ana mimba ya classmate from group. Na Ana mume mzuri tu maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
sema nanyie dada zetu mnakua warahisi sana mda mwingine ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahh..sio gundu mzee ..labda ujaweka mazingira sawa..kupanga ni kuchagua..ukitaka watakuja wengi sana hahahahh

HINTS
1.jisifie una pesa,kazi nzuri kwenye baadhi ya nyuzi zako
2.jisifie unajua kugegeda
3._______ni

NB ..pesa ndo mchawi wao ..watakuja na utawala sn
Ahahahahahahahahahahahha...Na hiv sinaga "siredi" humu basi ndio maana
 
Back
Top Bottom