Watu wanajua kuhonga nyie

Watu wanajua kuhonga nyie

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,643
Unakutana na mtu maisha kaya patia akiwa na late 30's

Zaidi ya kusoma Hadi sa Tisa alfajiri Kisha analala masaa matatu manne na kwenda darasani Tena akiwa shule na hata chuo hajui kitu.

Hajui mapenzi. hajui urafiki. Yani mtoto wa kiume bikra (tendo la kwanza na mwanamke)alitolewa na electrician mwenzie wakiwa masters chuo Cha MUST pale IYUNGA MBEYA (mfano).

Uhalisia baada ya wazazi kupambania Sana kuuza mazao, ng'ombe na maeneo yote ili kupambania kombe la Jama kusoma na kuhitim Jama anapata kazi ya 7m per month... (Serikalini.)

usafiri na dereva na nyumba anapewa.
Vikao vitatu Kila wiki na sitting allowance laki tatu kwenda juu.

Nyumba nzuri yenye ulinzi na Kila kitu kuanzia maji, umeme na mantainance ni free of charge.

Jumla ya mshahara na marupurupu account inasoma 12M per month .. kijana anatokea mbinga vijijini huko ndani kabisa mtandao unashika Hadi upande mtini... Udongo mwekundu kabisa .. udongo huu wa rangi ya kawaida for the first time aliuona alipoenda kusoma advance pale kigonsela.

MKE wake ni injinia mwenzake sura imepinda kushinda sura za wajomba zake wanaoshinda juani huko kijijini.

Jama ana nasa mikononi kwa Binti mrembo kabisa kutokea bukoba huko ...

Mwili wa bindi upo Kama wanyarwanda... Yan Tako lipo unaliona hili hapa...

Hips hata ukizishika hivi viganja havijai, kifua na Kila kitu ni chakutoshea mwanaume utadhan umechinjiwa kuku wakamchoma vizuri akaungwa kwa limao, tangawizi na Kila kitu af ukaambiwa Kaa mtu na bukta yako mezan umle peke yako...

Yaani weeee.
Jama anapewa Nyapuu hivi. Haamini Kama kweli Kuna kitu kitam ka hicho kinaweza kuwepo hapa duniani.... 🤣🤣🤣.

Mtu anashika paja anasubiri na kuvuta hisia .. ivi ni kweli kaniruhisu kushika mpaka wote huu jamani ???

Nyapu Yani inatosha na ni Safi pia Mana mwili wa Binti upo timamu. Jama anaona hapana hii inahitaji ulinzi hii.. niifungie wengine wasi Ione.

Anaikodia manzi apartment 15M per year...
Shopping ya chakula twice per week juma tano na na juma pili.

Anainunulia harrier na mda wote mafuta full tank... Na sim Samsung s25 ... Latest Ile nadhan jina sjakosea. .

Shopping ya nguo Kila mwezi tare 30 na pia out nzito ya five star hotel Kila ijumaa ya mwisho wa mwez.

Vacation ya mapumziko Mara tatu kwa mwaka... Hii inakuwa mbugani huko na nje za nchi.

Mtoto Mara pap kajengewa nyumba kubwa kibaha kwa matias baada ya kupata ujauzito.

Jama anarogwa kazini kwake anakuja kufariki ghafla .... kumbe kwao alisahau kujenga hata kibanda...

Mchepuko kauacha na mali za thamani ya M200. Na biashara ya 70M (duka la sim na accessories)

Watoto wa mke mkubwa wapo wanambwela na vimali kiduchu,

#wazazi wapo wanambwela na Mataji meeeeengi yalopelekwa na marafiki siku ya msiba. Huku wakizimiss zile laki mbilimbili Jama alikua unawatumia bila kiwajengea Wala Nini.

Yani wanaume sisi maisha yetu ni magum sanà .
 
Raha ya Hizi mambo ni kuanzia form one welcome form one unakula vitu laini vibichi konzi tena kwa gharama ndogo maadamu uwe handsome na uwe na ghetto,utakula kwa gharama ndogo kabisa ya mihogo na chips.
Zaidi ya Hapo ni kuisaka jela tu bora utulie ukubali stage imekutupa tu
Na sio ukubwani unakula used kwa gharama kubwa sana
Maana umri ukisonga ni lazima utoboke
 
Ah. Sasa mtu anakuja kuanza upuuzi mda ambao ndo wakuacha.
 
Kuna mda utamu wa maisha unapitiliza tunasahau msituseme vibaya huko mtaani aisee.
 
Marehemu hasemwi mkuu. 😆😆😆 kwamba ameyapatia maisha na kwa mshahara huo km.haja wajengea kwao basi alikua mpuuzi. Aende anapostahili
 
Raha ya Hizi mambo ni kuanzia form one welcome form one unakula vitu laini vibichi konzi tena kwa gharama ndogo maadamu uwe handsome na uwe na ghetto,utakula kwa gharama ndogo kabisa ya mihogo na chips.
Zaidi ya Hapo ni kuisaka jela tu bora utulie ukubali stage imekutupa tu
Na sio ukubwani unakula used kwa gharama kubwa sana
Maana umri ukisonga ni lazima utoboke
Kabisa mkuu. Umri ukisogea pesa yako inateketea
 
Back
Top Bottom