Watu wanajituma sana jamvini

Jf kuna mambo!..huyu anag'ang'ana wanakazana, halafu kuna mwingine anajiita tatiana
 

Thank you for being special to me.
 
sante sana sante sana bwana mc.. ama kweli am impressed kwa hii listi!

akchuale, ningependa sana kubeba nafasi hii yote kwa wote wanaonipenda (watoto wa kike tu!!), wamenifanya sasa PM yangu ifikie 69% used! nawashukuru sana!

napenda pia nibebe nafasi hii kuwashukuru wale wote waliojituma kunipa like za kutosha, reputations za kutosha na mentions with quotes za maana.. ama hakika kama reputation power ingekuwa mshahara, ningekuwa mbali sana..!

at the end, niwashukuru sana wengi wengineo waliosababisha excel akawa excel mpaka leo..!

(nimeongea kwa sauti iliyochanganywa na wine taam kutoka bihawana, dodoma!)
 
One day yes Mkuu.

Karibu sana, you have been very instrumental bro. Its great having great minded people of your calibre.
Mentor, Tafadhali fanyia kazi PM za Excel, PM zake zifoward kwangu nina haja nazo Kaka. usihofu Albamu moja inakusubiri pale kwa King Size.

 
Last edited by a moderator:

Uuuuuwiiii Excel Excel Excel haya kaka..... mi yangu mimacho kodo tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…