asante mkuu nawewe pia hongera kwa kufungua uzi
Haaa ha..kwani wewe Hukazani? au Unajikaza tuu bila Kumkazia miss chagga cc
Hiki nini bwana Mshana? Kukazana kufanya nn
Haaa ha..kwani wewe Hukazani? au Unajikaza tuu bila Kumkazia miss chagga cc
WANAJF WAKIKAZANA TU...
Nawe hongera kwa kubadili maua, Excel hongera kwa kubadili avatar, Rocky, utafiti na Mndengereko hongereni kwa quote names na hekima zenu. Tyta hongera kwa mapicha yalioenda shule mshana jr kwa post nyiingi lara 1 kwa utabe wako wa post, You got a brain dude Karucee, sina Mengi sweetheart.. You are adorable!!
#Team Rafiki keep up the spirit
#Team Bazazi siwapi hongera kwa ubazazi wala nini, ila tu kwa kujaza PM za ndugu zetu CC Mentor (PM moderator), Kaizer, mwekundu
Hongera MMU woote.

maua mazuri yapendeza macho
maua mazuri yapendeza macho
Miss Chagga muite Dina kwenye huu mkazano.
Ukiyatazaama, yanazama, utayavyopendeza, maua mazuuri yapendeza.
hahahaaa Tized kwahiyo mimi nakazana kuliko wote?
nitamwita