Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,369
- 31,789
Soma kwa kutumia akili acha kutumia kijambio ...sikusema mapishi nimesema ibada za dini zao...mapishi hayana shida yoyote ..kilicho katazwa kwa wakristo ni kula chakula au kitu chochote kilicho fanyiwa ibada kwa miunguUnamaanisha kuna viumbe hawali vitoweo vilivyoandaliwa na Makafiri ila wanakula samaki walioandaliwa na Makafiri mabuchani au siyo Mkuu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.