min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 62,118
- 179,960
Unafikiria hata chai una unga halafu unakuja kusika billion kadhaa😅😅😅😅, kujihusisha na hayo mambo ni kujitafutia matatizo ya akili tuDah! Hii nchi nikipata hela nahama
Unafikiria hata chai una unga halafu unakuja kusika billion kadhaa😅😅😅😅, kujihusisha na hayo mambo ni kujitafutia matatizo ya akili tuDah! Hii nchi nikipata hela nahama
Inasikitisha sana mkuu, pesa zetu hizoUnafikiria hata chai una unga halafu unakuja kusika billion kadhaa😅😅😅😅, kujihusisha na hayo mambo ni kujitafutia matatizo ya akili tu
Waifu material London hapakufai, twende Bergen ili tusahau upuuzi wote wa bongo.Umechelewa now nipo London😝
Zenu 😅Inasikitisha sana mkuu, pesa zetu hizo
Nauli bei gani nianze kujichanga😆Waifu material London hapakufai, twende Bergen ili tusahau upuuzi wote wa bongo.
Zetu walala hoi tunazotozwaZenu 😅
Wapotezee tu wewe fungua kanisa upite na za vilaza😅Zetu walala hoi tunazotozwa
IdiotKada yipi huyo? Acha umbea,abdul mwenyewe anamiliki carina T I namba A, hamtaki tule keki nyie? Mbona lijikeki lenyewe likubwa tu? Hadi tuzongane?
Sina kipaji hicho, ngoja nijaribu kilimo na ufugajiWapotezee tu wewe fungua kanisa upite na za vilaza😅
Usiwaze kuhusu nauli, gharama zote juu yangu. Yani wewe njoo kama ulivyo hata begi usibebe, tunaenda kuanza upya.Zetu walala hoi tunazotozwa
Hapo tupo pamoja, mimi moshi nafuga pia,hii kitu naipenda sana siku nikipata mda nitaipa mda wangu wa kutosha.Sina kipaji hicho, ngoja nijaribu kilimo na ufugaji
😂😂😂Usiwaze kuhusu nauli, gharama zote juu yangu. Yani wewe njoo kama ulivyo hata begi usibebe, tunaenda kuanza upya.
Napenda sana kufuga, yaani ngoja nijipange tuHapo tupo pamoja, mimi moshi nafuga pia,hii kitu naipenda sana siku nikipata mda nitaipa mda wangu wa kutosha.
Ukianza tuhamie zetu jukwaa la ufugaji 😊Napenda sana kufuga, yaani ngoja nijipange tu
Hakika ntahamia hukoUkianza tuhamie zetu jukwaa la ufugaji 😊
Duh,Akaunti ya bank inaonyesha mtoto wa Kada wa CCM ana zaidi ya billion 25 bank, je mama yake atakuwa na shingapi??
INAKATISHA TAMAA WALE AMBAO TUNATAFUTA KWA JASHO, KWA UDI NA UVUMBA LAKINI ATA KUIONA LAKI NI MAJALIWA. ILA WENZETU BILA ATA JASHO WANAMKARIBIA TRUMP.Akaunti ya bank inaonyesha mtoto wa Kada wa CCM ana zaidi ya billion 25 bank, je mama yake atakuwa na shingapi??
Kama huyu ana zaidi ya b25 na majumba ya kifahari na magari ya mabilion dullyboy atakuwa na shingapi?
Leo nimeamini deni la taifa linaweza kulipwa na watu watano tu