Watu wana faranga bhana

Watu wana faranga bhana

Hio ni CRDB pekee , account kutoka bank zingine ana kiasi gani?

Account alizofungua nje ya nchi zina kiasi gani?

Si kweli kwamba anamiliki hii account pekee, hawa wameweka pesa hadi kwenye crypto, nina uhakika, wameweka pesa kila mahala...
Ndio maana mo dewji huwa ana sala aisee, maana ana jua hawa madogo wana vuna mkwanja kilaini.
 
Back
Top Bottom