chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,548
- 2,699
Hatari lakini salama
Mambo yao waachie wenyewe!
Tukikubaliana kuwa mama anaupiga mwingi, imekuwaje Tena?Na hamna wa kutuokoa
Na hiyo ni awamu ya kwanza, bado round ya pili...mtaita maji mma!Duh,
Shamba la Bibi linavunwa kwa bidii kote kote
Naskia wanaweka Sana dubaiZa uswiss au sychelles
Kwa. Wajomba au kwa wakwe?Naskia wanaweka Sana dubai
Fvck CCMAkaunti ya bank inaonyesha mtoto wa Kada wa CCM ana zaidi ya billion 25 bank, je mama yake atakuwa na shingapi??
Kama huyu ana zaidi ya b25 na majumba ya kifahari na magari ya mabilion dullyboy atakuwa na shingapi?
Leo nimeamini deni la taifa linaweza kulipwa na watu watano tu
WajombaKwa. Wajomba au kwa wakwe?
Lazima use na offshore accounts, ukishagusa 500M na kuendelea huwezi ukatunza mpunga kwa benki zetu, alafu hiyo ya crypto nayo naamini ni moja ya mbinu kali sanaHio ni CRDB pekee , account kutoka bank zingine ana kiasi gani?
Account alizofungua nje ya nchi zina kiasi gani?
Si kweli kwamba anamiliki hii account pekee, hawa wameweka pesa hadi kwenye crypto, nina uhakika, wameweka pesa kila mahala...