Watu wametoka mbali sana

Watu wametoka mbali sana

Joined
Jun 28, 2018
Posts
96
Reaction score
111
je waewa mtambua huyo kwenye picha?
IMG-20180803-WA0013.jpg
 
Jina maarufu ni Masoud hilo Mussa halijawa maarufu masikio kwa watu.
Huyo -me ni MUSSA MASOUD wa efm, mtangazaji wa Joto la asubuhi na akina adella na Mau! Mussa ni mdogo wa ALLY MASOUD "kipanya!"
 
Jina maarufu ni Masoud hilo Mussa halijawa maarufu masikio kwa watu.
Kuna Tofauti Kati Ya Mussa Kipanya Na Masoud Kipanya!Mussa Kipanya Yule Wa E FM kipindi cha Asubuhi Na Masoud Kipanya Ni Yule Cartoonist na mtangazaji wa Clouds
 
aliyeshika kidevu nadhani ni huyu mwandishi aliyeambatana na Mh Kigwa
 
Back
Top Bottom